bbc

 1. Faana

  Arusha: Kinyesi cha Binadamu Chatumika Kutengeneza Mkaa

  Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu. Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine Hauna moshi...
 2. K

  Kwa unyenyekevu mkubwa, ombi kwa BBC na DW

  Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu. Asanteni
 3. KEROZENE

  BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

  Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania. Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
 4. F

  BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Africa, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

  BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
 5. K

  Mada za BBC na picha zao zina malengo gani?

  Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom. Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
 6. MK254

  Kenyan Journalist Named Director at Multi-National Bank Days After Quitting BBC

  Kenyan journalist Solomon Mugera has landed a new prestigious job just days after announcing his resignation from the British Broadcasting Corporation (BBC) on Friday, August 27. Mugera, who served as BBC boss for 23 years has been appointed as Director of Communication and External Relations...
 7. M

  Jana nimeona BBC Swahili usiku wakizidi kuudhalilisha upinzani Afrika

  Kikeke alimuuliza swali repota wake kutoka Dar kuwa huyo rais wa Zambia je unadhani atashirikiana na viongozi wengine wa vyama tawala ambavyo ni vya ukombozi akiwa na maana vyama kama CCM, ZANU PF na ANC. Jamaa wa BBC akajibu kuwa ni swali zuri sana hila siwezi lijibu mpaka tuje tumuone...
 8. B

  President Samia: Some don't believe that women can lead

  10 August 2021 Tanzania's President Samia Suluhu Hassan says there were people who doubted she was qualified to lead when she first became head of state because she was a woman. In an exclusive interview with BBC Africa's Salim Kikeke, President Suluhu also spoke about her Covid-19...
 9. Memento

  Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

  Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
 10. William Mshumbusi

  Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

  Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais. Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni maswali na majibu yote baada ya mahojiano. Kama mama anaongea kwa kumaanisha ni lazima ajue. 1...
 11. J

  #COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

  BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa...
 12. T

  BBC: Kenya imeingia makubaliano na UK kuwapatia madaktari wake ajira

  Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza. Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
 13. Evarist Chahali

  Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

 14. K

  RFA kulikoni hawako hewani mikoa ya Nyanda za Juu Kusini karibia wiki sasa

  Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
 15. Sky Eclat

  BBC News: Hivi ndivyo matajiri wakubwa hutumia pesa yao

  https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele. Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi. Jarida la Business Insider liliwahi...
 16. M

  Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

  Akihojiwa kupitia EATV live, Kilikuwa kipindi kizuri hasa ukiangalia ile kombinesheni ya wadada hawa wawili yani Da Salama kama mnavyo mjua na Da Zuhura wakiwa pamoja mezani na Da Salama anavyomchimba kumtaka ya ndani na nje. Mahojiano yalikuwa mazuri sana kwani Da Salama anajaribu kumchimba...
 17. Nafaka

  Journalism Trainer/Mentor - BBC

  Job Title: Journalism Trainer/Mentor Location: Tanzania Reports to: Senior Mentor Trainer Duration: 12 months (with possible extension) Closing date: 23 May 2021 Special requirements: Fluent in English and Swahili with ability to write reports and scripts in these languages. Interested...
 18. Jamii Opportunities

  IT Officer at BBC Media Action

  Job Title: IT Officer, Tanzania Location: Tanzania Reports to: Operations Manager, Tanzania Duration: 12 months (with possible extension) Closing date: 23 May 2021 Context: We are the BBC’s international charity, and we believe in the power of media and communication for good. We work across...
 19. Miss Zomboko

  Kituo cha BBC chatuhumiwa kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya Wanawake wa Kiislamu Nchini Uingereza

  Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'. Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
 20. J

  TANZIA Fred Jim Mdoe mwandishi wa zamani wa BBC afariki dunia

  Fred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi. Fred Mdoe enzi za uhai wake RIP Mdoe
Top Bottom