Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja na nywele zilizotokana na shughuli za unyoaji na uchafu mwingine ndani ya saluni yake.
Picha mjongeo...
Afisa mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Kakamega amekamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kutuhumiwa kumuingilia kingono msichana mwenye umri wa miaka 16.
Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, OCS wa Kituo cha Polisi cha Lumakanda, Wycliff Kwendo, alidaiwa kuwaambia Wazazi wa msichana huyo kuwa...
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.
Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara.
Mtuhumiwa huyo ametambulika kwa jina la Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe...
https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j-
Anasema:
1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini...
2. Amemtaka mtu...
Afisa wa Kenya Revenue Authority (KRA), Hughes Obilo, amekamatwa Kisumu na Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) kwa madai ya kudai hongo ya Sh100,000 kutoka kwa kampuni ya ujenzi.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, fedha hizo zilidaiwa kuwa “facilitation” ili afisa huyo asaidie kuondoa tax...
Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki.
K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua,
je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga?
Baada ya hukumu...
Wakazi wanaoishi karibu na River Kibos, Kisumu, wanataka mamlaka kutoa majibu kuhusu madai mapya ya uchafuzi wa mto huo, huku wakitaka shughuli za Kibos Sugar and Allied Industries zichunguzwe na sheria za mazingira zitekelezwe.
Lakini ukifuatilia rekodi, swali linakuwa kubwa zaidi: Kwa nini...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na...
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia.
Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
Ndugu Watanzania!
Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine.
Mgombea wa upinzani...
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari.
Katika hicho kituo...
Anonymous
Thread
barabarani
hizi
lori
madereva
madereva wa lori
rushwa
sana
tuhumatuhuma za rushwa
Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama...
Haya ndio madai ya chawa wa...
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
Wana chama wengi wa chadema,
pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.
Na,
kwa mvurugano wa chini kwa chini...
baraza
chadema
fedha
hali
kuu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mwenendo
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
tuhumatuhuma za ufisadi
uchangiaji
ufisadi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.