wanaopinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Wanaopanga kuandamana wana maslahi yao na wanaopinga kuandamana pia wana maslahi yao, usijichanganye!

    Habarini,lazima mlielewe hilo kila mtu ana maslahi yake kwenye maandamano ya Kiafrika achana na kifuata mikumbo kama huna maslahi basi tuliza makalio home kwako. Asanteni!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wachache wanaopinga uwanja wa Serengeti wanatumia nguvu kubwa sana kutetea maslahi ya Kenya, wananufaika vipi kuitetea Kenya ?

    Wakenya wanajua uwanja wa Serengeti ukijengwa tunaenda kuwapiga gap kubwa wanalijua hilo Hivi sasa wakenya wameshaanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa karibu na Masai Mara, hii ni mbuga iliyoungana na Serengeti, kwa lugha iliyorahisishwa ni serengeti inayoendelea upande wa Kenya Lakini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

    Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga? Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

    Habari za siku ya leo WanaJamiiForums? Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa. Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa, Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu. Sio...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu mpaka sasa CCM imepasuka. Wanaopinga huu utawala ni wengi

    Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana. Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo madarakani. Wanajifanya wapo kimya. Ila chini kwa chini hawamtaki mkuu aliyepo. Hii inaipa nguvu...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

    Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hoja walizonazo Wanaopinga Agenda ya Kitaifa ya NO REFORMS NO ELECTIONS

    Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR. Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga, kuheshimu jitihada za Rais Samia

    Wakuu uchawa unakomaa kila siku == Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha jamii na badala yake kuheshimu juhudi za serikali katika kuleta maendeleo. Akizungumza na waandishi wa...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

    Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  17. M

    JamiiForums Tanzania Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika. Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni Akasema kuwa ukiondoa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  19. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Ubinafsishaji wa Bandari ilikuwa game changer, je Rais Samia alikwama wapi?

    Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri. Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Back
Top Bottom