sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo...
  2. Gidabed

    Kwanini tutoe sadaka na matoleo kanisani badala ya kuwalenga wahitaji moja kwa moja?

    Wakuu natumai mko salama. Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara bila majibu. ~Hivi hizi sadaka tunazochangia kila jumapili na wakati mwingine katikati ya juma zinaendaga wapi? I mean zinamsaidia nani hasahasa,kwa sababu kama zinasaidia wahitaji, nani mwenye ushuhuda ambaye ameona...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mihayo Akabidhi Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi Zaidi ya 300 Jimboni Mwera

    MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia Mia tatu katika Jimbo hilo ili kujiandaa na Sikukuu ya Eid Al Fitri Mheshimiwa Nhunga amesea utoaji...
  4. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi akabidhi sadaka ya futari kwa makundi maalum

    Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari kwa makundi maalum wakiwemo watoto Yatima, Wazee. Sadaka hiyo imegaiwa na Naibu Waziri wa Maendeleo...
  5. M

    Nimeacha kutoa sadaka baada ya kusikia kauli hii ya mchungaji

    Maneno ya mchungaji yamenivunja sana moyo wa kutoa sadaka. Nimeacha kutoa sadaka kanisani, maneno ya huyu mchungaji yameniumiza sana. Kwamba sadaka ni chakula cha wachungaji. Mungu hana Account ya kuwekewa pesa. wanatuambia Toa fungu la kumi , utabarikiwa!!!!, usipotoa umemuibia Mungu. halafu...
  6. MKATA KIU

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  7. BARD AI

    Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  8. Mtukutu wa Nyaigela

    Sadaka ni nini?

    Je, sadaka ni zile hela tunatoa kanisani au hata ukisaidia mhitaji nayo ni sadaka?
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

    Nimekaa coco beach naangalia jinsi meli kubwa kubwa za mizigo zikikaa hapo takribani week 2 zikipanga foleni nimejikuta natafakari vitu vingi sana. Gwajima Mtumishi wa Mungu, mchungaji mkubwa ambaye anamiliki pesa nyingi sana pamoja na ndege binafsi( kwa mujibu wake). Machozi yamenifika...
  10. R

    Sadaka itakayokuokoa siku ya Tabu

    Salaam, Shalom! INTRODUCTON. Mungu ameweka sadaka kuwa kitu kinachoendeleza kipato Cha mtoaji maisha yake yote. (Luke 6:38) Yesu asema, wapeni watu vitu,nanyi mtapewa, kipimo Cha kujaa, na kushindiliwa, na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo...
  11. tpaul

    Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa...
  12. Mhafidhina07

    Tujitahidi kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada

    Kufatia kuvurugika kwa maadili inaonekana kuna tatizo katika upande wa kiimani na kwa haraka naweza kufikiiria kuyumba kwa uchumi misikitini, kanisani na madrasa ambapo inawalazimu walimu, masheikh na wahubiri kufanya kazi kwa kiasi kikubwa ili kujiihudumia. Ukweli ni kwamba Ukitoa sadaka...
  13. 5 Nyingi

    Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

    Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
  14. Boss la DP World

    Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

    Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka. Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana. Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
  15. matunduizi

    Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  16. matunduizi

    Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  17. matunduizi

    Jifunze kuilinda sadaka yako kama Abram alivyozilinda zake

    Mwanzo 15, Ibrahim alielekezwa na Mungu atoe sadaka ili apate kuhakikishiwa hatma ya maisha yake. Aliziandaa akazilinda hadi jioni tai na mbwa mwitu wasije wakazitafuna. Alifanikiwa hadi jioni mpaka zilipoleta matokeo. Watu wengi hawanufaiki na sadaka zao kwa sababu hawazilindi. Wanatoa kama...
  18. Kiboko ya Jiwe

    Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
  19. GENTAMYCINE

    Ni kwanini tunaotoa Sadaka za Sarafu ( Coins ) Makanisani huwa tunaangaliwa kwa Jicho la Usununu ( Hasira ) na Waumini?

    Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani? Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati...
  20. R

    Askofu Gwajima anatofautishaje mapato ya sadaka na matumizi ya kufanya siasa?

    Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi. Kwa mantiki hiyo hawa vijana wanalipwa na mlipaji maana yake ni Pastor Gwajima. Lakini Gwajima chanzo chake cha...
Back
Top Bottom