Waumini 15 wa Kanisa Katoliki Nchini Burkina Faso wauawa katika shambulio la kigaidi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,418
5,779
Screenshot 2024-02-26 093714.png
Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema.

“Tunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji cha Essakane Februari 25, wakati waumini walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili,” kasisi wa dayosisi ya Dori, Jean Pierre Sawadogo alisema katika taarifa iliyowasilishwa kwa shirika la habari la AFP.

Idadi ya awali ni ya watu 15 waliouawa na wawili waliojeruhiwa, aliongeza.

Akitoa wito wa amani na usalama nchini Burkina Faso, Sawadogo alilaani “wale wanaozidi kusababisha vifo na uzuni nchini.”

Kijiji cha Essakane ambako shambulio hilo lilifanyika, kinapatikana katika eneo linalojulikana kama “mtaa wa mipaka mitatu” kaskazini mashariki mwa nchi, karibu na mipaka ya pamoja kati ya Burkina Faso, Mali na Niger.

Ni shambulio la hivi karibuni katika msururu wa vitendo vya kikatili vinavyodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislamu katika eneo hilo, baadhi ya vitendo hivyo vikilenga kanisa za Kikritso huku wanamgambo wengine wakihusika katika utekaji nyara wa wanadini.

=================

Burkina Faso: At least 15 dead in Catholic church attack

At least 15 people have been killed and two others injured following an attack on a Catholic church in north-eastern Burkina Faso on Sunday.

It took place during Sunday worship in Essakane village in Oudalan province - close to the border with Mali. Few details have been given.

A church official indicated the gunmen were suspected Islamist militants.

There was no immediate response from the authorities in the West African country's capital, Ouagadougou.

A statement by the head of the local diocese, Abbot Jean-Pierre Sawadogo, said 12 people were killed instantly, while three others died at the hospital.

"In this painful circumstance, we invite you to pray for those who died in faith, for the healing of the wounded, and for the consolidation of grieving hearts," the statement reads.

It is the latest atrocity in the country to be attributed to Islamist militants.

More than a third of Burkina Faso is currently under the control of insurgents.

The authorities have been battling Islamist groups linked to al-Qaeda and Islamic State, which have taken over large swathes of land and displaced millions of people in the Sahel region.

In the last three years, churches have been targeted and scores of worshippers killed.

Burkina Faso, which is ruled by a military dictatorship, recently pulled out of the regional political and economic bloc, Ecowas, along with its Sahel neighbours, Mali and Niger.

They cited lack of support from Ecowas in the fight against terrorism as one of the reasons for wanting to exit the union.

The three junta-led countries had already been suspended from the bloc, which had been urging them to return to democratic rule.

Earlier this month, Burkina Faso's military-backed president Ibrahim Traoré said Russian troops could deploy to fight jihadists in the West African country if needed.

Source: BBC
 
Halafu wanapoua hivyo waga wanatamka "Mungu ni Mkubwa" kwa kiarabu wakimpa heshima mungu wao wanaempigania anayeitwa allah..

Endapo wageni wasingekuja Afrika na kuleta hizi tamaduni zao za hovyo wanazoita dini ama kweli Afrika tusingekuwa hivi tulivyo na tungekuwa mbali sana.
 
Imani ya Kiislamu hunihuzunisha sana.
 
Halafu wanapoua hivyo waga wanatamka "Mungu ni Mkubwa" kwa kiarabu wakimpa heshima mungu wao wanaempigania anayeitwa allah..

Endapo wageni wasingekuja Afrika na kuleta hizi tamaduni zao za hovyo wanazoita dini ama kweli Afrika tusingekuwa hivi tulivyo na tungekuwa mbali sana.
Mbali wapi kama sio kushinda kwenye kaniki
 
Allah anachoifanya dunia sio kitu kizuri,nadhani ni malipizi ya kufukuzwa mbinguni
Mkuu wewe elimu Yako ni kubwa sana. Na sijui kama watu wengi wameielewa hii post Yako? Yaani Hawa Waislam hawajang'amua tu; yule anayeripotiwa kwenye Biblia ktk Ufunuo 12:9-10 kuwa alivurumushwa Toka Mbinguni ndiyo huyo huyo ALLAH. Sasa anahasira nyingi akijua kuwa muda wake uliobaki ni mchache
Screenshot_20231116-174917.png
 
Mkuu wewe elimu Yako ni kubwa sana. Na sijui kama watu wengi wameielewa hii post Yako? Yaani Hawa Waislam hawajang'amua tu; yule anayeripotiwa kwenye Biblia ktk Ufunuo 12:9-10 kuwa alivurumushwa Toka Mbinguni ndiyo huyo huyo ALLAH. Sasa anahasira nyingi akijua kuwa muda wake uliobaki ni mchache
View attachment 2917122
kwa bahati mbaya sana kwao, huyo ndiye shetani, baba wa uongo, muuaji,mchawi na chinjachinja. watu wamefumbwa macho hawaoni, hadi wanampigania yeye na kitabu chake, ati ukichafua kitabu wanapigana hadi kufa, kweli Mungu wa kweli ahitaji mwanadamu ampiganie? watu mbona vipofu?
 
Back
Top Bottom