Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akizungumza kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema historia inaonyesha kuwa viongozi wa dini ndio waliotoa mchango mkubwa na kutafakari juu ya...
Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation
Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them
Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
Hamjambo!
Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya.
Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi.
Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka.
Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai.
Endelea na orodha…
My Take
Ikumbukwe Machadema Huwa yanaponda Mfumo wa sheria za Tanzania na kuwaponza CCM kwamba wanaruhusu darasa la saba Kugombea nafasi za Uongozi na kwamba huko wanakopewa hifadhi Kwa kibaraka wa beberu Kenya Kuna wasomi sana.
Haya Sasa Chadomo mnaitwa huku mje kujiona mlivyo mbumbumbu na...
Habari
Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk
ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo....
Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi.
Ata...
Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa.
Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika hatamu ya uongozi vizazi vyenu havitakuwa salama.
Sishangai kuona baadhi ya viongozi hasa Africa...
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao.
Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu.
Akizungumza na wanahabari, Nuno...
Katika jamii nyingi, miujiza feki inayodaiwa na manabii na mitume imekuwa ikichukua nafasi ya ahadi ambazo zilipaswa kutimizwa na wanasiasa.
Kwa kawaida, mwanasiasa ndiye anayewajibika kuhakikisha wananchi wanapata maisha bora kupitia huduma za afya, elimu, ajira, na miundombinu.
Lakini pale...
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu.
Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba...
Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment.
"Hospital wamejaa Incompetent Doctors and other medical practitioners kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ni mbovu."
Wenye pesa...
Je,
Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania?
Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
Mwigulu ni waziri mkuu anazunguka kuwananga wanaharakati baada ya kueleza serikali yake imefanya nini ? Imepunguza kero za wananchi maskini kwa kiasi gani? . Yeye yuko busy na wanaharakati cha ajabu wanaharakati hawana time na Mwigulu...
Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
Hamjambo wote¡
Katika moja ya andiko moja lililopatikana katika falsafa za kitibeli lililosema:
"Mfalme huamini kuwa anaitawala dunia. Lakini mara nyingi dunia hutawaliwa na watu ambao mfalme hawajui hata majina yao."
Historia imejaa mifano ya watu waliovaa taji huku wakidhani wao ndio wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.