Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Hamjambo!
Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta.
Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni.
Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu
Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
Matendo 28
3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi.
4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua.
Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka.
Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni.
Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi.
Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa.
Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.
Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao.
Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu.
Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa:
1. Uelewa wa maana ya ndoa
Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe.
Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa.
Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa.
Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora,
Ikiwa unaimani ya ufanisi...
Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
Sakata la watu wawili linachukua sura mpya kila uchao..... Na kila anajitokeza kuliongelea ama anazidi kuharibu ama anazidi kukoleza moto.. Na lisipodhibitiwa sasa linaweza kuja kuleta mgawanyiko mkubwa ndani ya imani moja ama madhara makubwa
Sasa kwenye hili.. Inayoumizwa ni imani. Kwakuwa...
Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango.
Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script.
Badala...
Imani haina tofauti na itikadi. Imani inakupa mwelekeo wa kusimamia masuala yanayohusu utawala usioonekana kwamba ndiyo unaotawala fikra na hisia kuhusu uwepo, uumbaji na yanayodhanika kujiri baada ya nafsi na roho kuachana na mwili. (Hii ni tafsiri yangu)
Dini, ni utaratibu uliobuniwa na...
TTCL wanapaswa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya watu wanaotumia laini za mtandao wao kufanya utapeli. Tatizo si hasara za kifedha pekee, bali pia kupungua kwa imani ya wateja.
Leo watu wengi wakiona simu kutoka kwenye laini za TTCL husita kupokea au hupuuza maelekezo muhimu wakidhani ni...
Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini.
Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu
Umekaa hapo unajiandaa kesho kupeleka 100,000 ya kujimaliza kwa jamaa akutoe nuksi ili ufanikiwe na unapakwa mafuta usoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.