Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa mitume ambavyo havikutaka kutolewa ila najaribu kufikiri ni uongo upi na ukweli upi katika dini.

Tunajuaje maisha ya kweli ya mitume mbali na kukusanywa kwa visa na simulizi nyingi?
 
Back
Top Bottom