Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera.
Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.
Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
Natoa maana ya Serikali ya Kigaidi, ili kila mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kutafakari, aone, Serikali ya Tz inapungukiwa na nini ili kupata sifa ya kuitwa "Serikali ya Kigaidi":
STATE TERRORISM:
State terrorism refers to violent acts, threats, or intimidation committed by a government...
Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao.
Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??.
Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??.
Mwigulu huna akili hata kidogo kweli??
Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas
Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua...
Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena.
Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
GT.
CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu.
CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote
1. Mdude
2.kibao.
3. Polepole
4.Mawazo
5. Ben saanane
6. Soka
7. Ndugai
8. Jenista
9...
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.
CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization.
Makundi ya kigaidi huteka, huua.
Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa...
Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji.
Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi.
Unaniuliza, kama tatizo ni...
Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio hilo tujikumbushe kidogo.
Sehemu ya upande wa kaskazini mwa jengo la WTC muda mfupi baada ya...
Hii ni syndicate inayojificha nyuma za mamlaka kwenye mataifa ya uarabuni, kwa kuwaaidi viongozi wa mataifa haya usalama, ulinzi, wa kuendelea kuwepo madarakani au kutowekwa hatiani ili wao wapewe njia rahisi waendeleze itikadi yao ya machafuko na kufadhili vikundi vya kuleta machafuko mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.