betting

Gambling (also known as betting) is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome, with the primary intent of winning money or material goods. Gambling thus requires three elements to be present: consideration (an amount wagered), risk (chance), and a prize. The outcome of the wager is often immediate, such as a single roll of dice, a spin of a roulette wheel, or a horse crossing the finish line, but longer time frames are also common, allowing wagers on the outcome of a future sports contest or even an entire sports season.
The term "gaming" in this context typically refers to instances in which the activity has been specifically permitted by law. The two words are not mutually exclusive; i.e., a "gaming" company offers (legal) "gambling" activities to the public and may be regulated by one of many gaming control boards, for example, the Nevada Gaming Control Board. However, this distinction is not universally observed in the English-speaking world. For instance, in the United Kingdom, the regulator of gambling activities is called the Gambling Commission (not the Gaming Commission). The word gaming is used more frequently since the rise of computer and video games to describe activities that do not necessarily involve wagering, especially online gaming, with the new usage still not having displaced the old usage as the primary definition in common dictionaries. "Gaming" has also been used to circumvent laws against "gambling". The media and others have used one term or the other to frame conversations around the subjects, resulting in a shift of perceptions among their audiences. Gambling is also a major international commercial activity, with the legal gambling market totaling an estimated $335 billion in 2009. In other forms, gambling can be conducted with materials which have a value, but are not real money. For example, players of marbles games might wager marbles, and likewise games of Pogs or Magic: The Gathering can be played with the collectible game pieces (respectively, small discs and trading cards) as stakes, resulting in a meta-game regarding the value of a player's collection of pieces.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

    Leo ni miezi mitatu tangu nilipoamua kuacha betting. Believe me, nimejifunza mengi sana kwenye safari hii. Betting ilinifanya nipoteze pesa, muda na vitu ambavyo nilipaswa kutumia kujijenga. Inachakaza maisha taratibu mpaka unaweza kufika mahali unashindwa hata kununua nguo zako mwenyewe, kwa...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya betting 50pick na mtindo mpya wa kubeti

    Wakuu mimi nimezoea kuona kampuni za betting tunaweka mkeka kwa kufuata odds Sasa hawa www.50pick.tz kwanza mnabeti ninyi kwa ninyi kwa kujibu maswali ya ndio au hapana. Mfano wanauliza ligi kuu ya nbc kutatoka adhabu ile kamati ya saa 72 ndani ya mwezi huu ,, halafu kunakuwa na ndioa au hapa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Melbet sports betting - how comfortable is the platform to use?

    Has anyone used Melbet for sports betting? I’m interested in general feedback: how good is the user interface, how quickly are the odds updated during live events, is it easy to use on a mobile, and how punctual are the payouts?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini kwa vijana wengi si wanawake ni kamari( betting)

    Habari zenu Wakubwa? Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni bei ya pikipiki. Ila yeye ukiangalia maisha yake hana hata baiskeli, daah inauma. Ebu fikiria hapa ni...
  5. Junior Lecturer

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyo tapeliwa kwenye betting

    Habari Wana Jf! Niende moja kwa moja kwenye Mada. Katika harakati za ukamalia,maarufu kama betting huko kwenye cannell za what's App,nikajiunga na channel moja iliyo jiita "Free correct score ". Kwenye hiyo channel adimn ni mbongo anatoa mikeka miwili ya correct score bure kila siku. Alikuwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7. Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Betting itaondoa umasikini kwa vijana? Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukigundua mamtu wako anabeti?

    Imagine unakaa na mtu wako unashika simu yake unagundua kwamba anabeti na ni gwiji kabisa ,fundi wa kusuka mikeka , unakuta betting slips kwenye simu yake, mpaka walpaper yake amemueka Bukayo Saka na watu wanamtegemea kwenye kupata odds. Utafanyanye ukigundua mpenzi wako ni wa hivyo.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

    Habari wakuu Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Soko la forex tarehe 7/8 leo limeonesha wazi broker wameamua kuzima server au kuviruga kama betting za mpira

    Hali imekuwa mbaya jinsi dunia inavyozidi kugundua njia na mix AI inavyochochea ziada ya ku analysis taarifa. Kwa sasa makampuni yaliyotegemea a logarithmic kubwa yanaanza kufanya wazi kuchomoa betri wazi wazi. Masoko ya hisa,forex na mwenendo wa dunia umekuwa mgumu mpaka kufikia wazi wazi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti Betting mapema inaandaa taifa la watu wajinga wa bahati nasibu wavivu wa kufikiri na kutenda wasio na future kabisa

    Kwa sasa betting addiction ni Moja ya janga la KITAIFA haswa Kwa vijana wa Genz . Serikali idhibiti betting mapema. Uraibu wa betting umeanza kuwa janga kubwa la kijamii, hasa miongoni mwa vijana. Hakuna maisha ya bahati nasibu. Maisha bora yanajengwa kwa elimu, maarifa, kazi, nidhamu, ubunifu...
  12. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni Rejects Two Tax Bills Over Betting Tax and Plastic Levy

    President Yoweri Museveni has declined to assent to the Income Tax (Amendment) Bill, 2026 and the Excise Duty (Amendment) Bill, 2026, sending them back to Parliament for reconsideration after raising concerns that some of the proposed tax measures would create unfair competition, encourage tax...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Betting yadhibitiwe

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imezidi kuimarika Tanzania ikitajwa kushika number 6 barani africa. Pamoja na mafanikio yanayoweza kupatikana kwa uwekezaji na kodi , biashara hii inatakiwa kufanywa kwa tadhari na udhibiti. Kikawaida michezo hii haipaswi kuchezwa na watoto under 18 lakini...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rahma Kisuo: Mkiongeza Kodi kwenye 'Betting' tutaua ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Riyadh Kisuo, ameonya kuwa ongezeko la kodi kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha linaweza kuathiri shughuli za biashara na kusababisha kupotea kwa maelfu ya ajira nchini. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sitousahau mchezo wa Aviator kamwe

    Hatimaye , nimeacha chuo kwa sababu ya AVIATOR. Kwa wale wote walioruhusu mchezo huu nchini, endeleeni kubarikiwa!!.
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Betting ni ngumu

    I hate Barcelona, Nawachukia Barcelona Laki tatu siyo ndogo. Nawachukia. Why ball position iwe 78 then ushindwe kuifunga timu mchekea like as Valencia? Kwa taarifa zenu hafilisiki mtu
  18. Joanah

    JamiiForums Tanzania Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

    Hey people, Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine Niliona nifocus na shule na mpira Ninavyoona moja ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa makampuni ya betting nchini - wakati nchi kama Indonesia kamari imenyimwa uhuru, huku kwetu tunazidi kupoteza vijana

    Waziri wa Viwanda hatusikii akienda kuzindua viwanda vya kujenga uchumi wa kweli anakwenda kufungua kampuni ya kucheza kamari kwa kigezo kwamba inachangia kodi ina maana mmekosa mbinu nyingine kabisa za kupata kodi mpaka muhalalishe kamari kwa namna hio. Sisemi kwamba kamari izuiwe kabisa...
Back
Top Bottom