Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji.
Athari kwa wakazi ni pamoja na:
Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo.
Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
Anonymous
Thread
maji
sekondari
shule
shule ya sekondari
ukosefuukosefu wa maji
Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana!
Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
Habari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano...
Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili.
Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita...
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada.
Inasikitisha kuona tatizo hili...
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu.
Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku.
Tunaomba...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
maji
mjini
ukosefuukosefu wa maji
wilaya
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu.
sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
Anonymous
Thread
katika
kero
kichwa
kutoka
maeneo
maji
singida
suwasa
taarifa
ukosefuukosefu wa maji
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.
Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu...
DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma
Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni zaidi ya kilomita 30
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.