mitume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  2. Victor Mlaki

    Huduma za mitume na manabii zinapingwa sana na wachungaji kuliko waumini :Uchunguzi unaoendelea

    Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika mikoa miwili (Dar es Salaam na Geita) nimeweza kuona upinzaji mkubwa sana kihuduma kati ya manabii...
  3. Uzalendo wa Kitanzania

    Kwanini makanisa yaliyojitenga na Kanisa Katoliki yanaongoza kwa Kashfa za manabii na Mitume feki?

    Wadau hamjamboni nyote Najiuliza Makanisa yaliyojitenga yakipinga mafundisho yanayoenda kinyume na maandiko ya Kanisa la Katoliki ndiyo kwa sasa yanaongoza kwa mambo yasiyompendeza Mungu: Manabii na Mitume feki, Kashfa za mauaji, Imani za Ushirikina, Mifarakano ya kifamilia, Migogoro...
  4. Mhaya

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
  5. Mhafidhina07

    Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

    Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa...
  6. Swahili AI

    Kibiblia: Namna wanaojiita manabii, mitume, makuhani wanavyopotosha watu

    Leo nataka niwaonyeshe namna ambavyo wakujiita manabii, makuhani, mitume na wengineo wanavyo walaghai wakristo. Nitafafanua kibiblia kabisa. Kwanza chanzo cha upotoshaji wa waaumini umetajwa katika Hosea 4:6 “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; Ni kweli kabisa, wanaangamia kiuchumi...
  7. 5 Nyingi

    Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  8. Plaintiff

    Moja wapo ya Fungu kwenye Biblia linalotafsiriwa vibaya: Matendo ya Mitume 10:15

    Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa. Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili...
  9. crankshaft

    Liliishia wapi kanisa la kushea vitu la mitume?

    Kwa mujibu wa biblia, Mara baada ya yesu kuondoka duniani, kanisa la kale kabisa walitumia mali zao kwa pamoja. Yaani mfano una kiwanja chako,unauza pesa Zote unapeleka kanisani. Hapa ndio kuna kisa Cha anania ambae alikufa kwa kosa la kuweka pembeni mali yake ambayo ilipaswa kutumika na...
  10. matunduizi

    Mambo 05 ya kujifunza maishani kutoka kwa mitume na manabii wa uongo nchini Tanzania

    1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available). Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali. 2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Ni jukumu la mitume, manabii, wachungaji na maaskofu kukemea Maovu hasa ya watawala

    Kwema Wakuu! Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu. Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
  12. The Sheriff

    Sakata la Bandari: Baraza la Mitume na Manabii Tanzania lakanusha kutoa Tamko

    Baraza Kuu la Mitume na Manabii Tanzania limekanusha kuhusika na barua ambayo imesambaa mtandaoni ikieleza kinachodaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu sakata linaloendelea la Mkataba wa Bandari. Akieleza katika video aliyoiposti kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  13. Pdidy

    Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  14. Pascal Ndege

    Authenticated leaders (viongozi wenye utashi hakika sahihi na wakweli) ndio msingi wa kwanza wa uongozi

    Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
  15. R

    Kuna manabii na mitume wa kweli leo ambao hawaombi pesa?

    Siku hizi imekuwa biashara kubwa ya kuleta utajiri mtu from nowhere kuibuka na kujiita mtume au nabii. Wako wapi watumishi wa kweli wasiodai pesa kwa visingizio vya zaka na sadaka? Pia unawezeza kusoma link hii niliyokutana nayo leo mtandaoni...
  16. M

    Wakristo na Waisilamu tujadili vifo vya Mitume

    Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa? Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
  17. M

    Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  18. mshamba_hachekwi

    Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  19. M

    Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

    Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani? Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
  20. MIXOLOGIST

    Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

    Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
Back
Top Bottom