Nimefikia conclusiion kwamba wanawake wengi ni wepesi sana kudanganywa kwenye imani, 90% ya waumini wa makanisa ya mazingaombwe ni wanawake.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana.

Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa hapa kwetu kwa mimea ya hapa hapa gharama za kichupa huwa ni elf 1 lakini waumini wapo tayari kulipia laki 1, Kumuona mchungaji laki kadhaa, n.k. ni wizi mtupu katika jina la imani dhaifu,

Mazingaombwe yanayofanywa ni script na kuna wakati yana hatari kubwa sana kupiga ramli chonganishi, kila kitu kipo well planned, nimewahi kushuhudia live kwa macho yangu kanisa flani ambalo mchungaji alikuwa jirani, mke wake na mdogo wale walikuwa wanajiunga kwenye timu ya kujitupa tupa ku act wana mapepo, waumini wapya wanadata na kudhani mchungaji yupo nondo.

Omba sana mkeo asianze kwenda aina hii ya makanisa, kama ni mchumba jiweke pembeni fasta sana muache, Watu hawa huwa wanajiweka nafasi ya kuonekana ni miungu watu, mwanamke akisazamia huko anaamini kila anachotaka huyo nabii wa mchongo inabidi kiheshimiwe automatically sio cha kupingwa, kuna mwezetu aliweka kisa humu kwamba mke wake anaacha mtoto anaenyonya nyumbani kwenda kanisani kisa tu mchungaji kasema awepo, mtoto hajanyonya lakini mama anamheshimu zaidi mchungaji.

Hata pale video za mchungaji chafu zikivuja ukifatilia utaona wanaomkingia kifua kusema video ime editiwa ni wale waumini wanawake, mchungaji kashawakamata imani zao huwezi waambia kitu.

Makanisani ukiona wanaume basi ni Dj, wapiga vyombo vya muziki, wale wanaokamata wanawake wanao act wana mapepo, n.k. ukiona wanaume wengine mara nyingi ni wale wanalazimishwa kwenda huko kwa shinikizo la wanawake sio kwa hiari yao, unakuta mmama analia kabisa nenda, basi mwanaume ananeda basi tu sio kwa hiari yake.
 
Kuna kidemu nilikuwa nikikiambia kije geto, kinakuja na mafuta ya mwamposa, kinaniwekea kwenye maji ya kuoga, kinapigia deki geto, siku nilipojua sikuuliza mara mbili. Nilipiga chini mpaka leo sitaki mazoea naye.
Mimi mtu akishampatia mtume na nabii amshikie akili zake, huyo mtu sitaki mazoea naye tena.
 
Kwahiyo Wanawake wengi ndio wajinga, kwakuwa Wajinga ndio waliwao

Ila napendekeza Serikali iingilie kati hili suala na kuhakikisha inawatokomeza hawa Manabii waongo na mitume feki wanaowafanya Watanzania Wapumbavu

Mbona Rais wa Rwanda alikataa makanisa yote ya michongo isiyo na usajili rasmi na kukomesha kelele zinazoghasi wananchi wake

Serikali ya CCM itokomeze huu ujinga.
 
Kuna kidemu nilikuwa nikikiambia kije geto, kinakuja na mafuta ya mwamposa, kinaniwekea kwenye maji ya kuoga, kinapigia deki geto, siku nilipojua sikuuliza mara mbili. Nilipiga chini mpaka leo sitaki mazoea naye.
Mimi mtu akishampatia mtume na nabii amshikie akili zake, huyo mtu sitaki mazoea naye tena.
Ungeoa kabisa huyo
 
Hizo takwimu zako sikubaliani nazo, ila ni kweli wanawake wanashika dini kuliko wanaume.

Mimi naona ni kwasababu;

1. wanawake wanaendeshwa na hisia kuliko wanaume

2. wanawake hawana conventional hobbies, hakuna tasnia imetawaliwa na wanawake, labda iwe inahusiana na wanawake moja kwa moja, hivyo kanisa kwa mwanamke ni kama bar kwa mwanaume, ndo sehemu yao ya kujidai.

au vipi?
 
Ipo hivyo na itabaki kuwa hivyo. Ndugu yangu amehangaika na bado anahangaika na hawa manabii na mitume kila kukicha lakini mambo yake ni bora ya jana.
 
Umechelewa kujua Mkuu.

WENGINE WANATOA MPKA MBUSUSU ILI WACHUNGAJI WAWAPE MIUJIZAA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mwanamke ni kiumbe wa hisia peke yake,sio akili.

Mnaonaga zile memes zinachorwa mwanaume anamwambia mwanamke waingie ndani kwake akaone sufuria za plastiki,mnaona ni utani tu.

Amini nakwambia mwanamke unaweza mwambia vile akaingia kweli ndani kwako kuja kuziona😁😁😁😁😁
 
Mwanamke ni kiumbe wa hisia peke yake,sio akili.

Mnaonaga zile memes zinachorwa mwanaume anamwambia mwanamke waingie ndani kwake akaone sufuria za plastiki,mnaona ni utani tu.

Amini nakwambia mwanamke unaweza mwambia vile akaingia kweli ndani kwako kuja kuziona😁😁😁😁😁
Nimecheka sana,sufuria za plastiki..!
 
Back
Top Bottom