makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAG makanisa yao mengi ni ya mabati mabati ova wanajitafuta wakati ni moja ya taasisi kongwe?

    Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
  2. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

    Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

    https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima? Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM? Sikilizeni... Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili; 1. Mwilini (Physical realm...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Kelele za Makanisa: NEMC Yatoa Onyo, Yaeleza Hatua Inazochukua

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele za nyumba za ibada. Akizungumzia kero ya kelele hasa zile zinazosababishwa katika nyumba za ibada...
  7. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Ujenzi wa MAKANISA NA MISIKITI

    ⛪🕌 UNATAKA KUJENGA KANISA AU MSIKITI? USIANZE NA CEMENT! Watu wengi wakipata kiwanja cha kujenga sehemu ya ibada, kitu cha kwanza wanachofikiria ni: “Tuanze kununua cement, mchanga na kokoto.” 😅 Lakini hapo ndipo tatizo linaweza kuanzia. Kabla hujanunua hata mfuko mmoja wa cement, jiulize...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kero: Makanisa ya walokole katikati ya makazi ya watu

    Kuna mtaa nipo hapa nimekuja kumtembelea ndugu yangu ni mgonjwa, sasa bana jirani hapa Kuna kanisa la WALOKOLE, mda mwingi wanapiga maombi ninaweza kusema ni ya kelele sana, zimekua kero kwa wagonjwa na wazee wanaohitaji utulivu. Inakuaje mtu mnaweka maspika makubwa mnaelekezea kwenye madirisha...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utitiri wa Makanisa huku Salasala umekuwa kero kwa kelele, utaratibu wa vibali uangaliwe upya

    Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi. Hali hii imekuwa...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole hapa Bongo hayafundishi tena kuhusu Mpinga Kristo & 666. Kulikoni?

    Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku! Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni. Leo...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tungekua na SERIKALI inayojielewa, Makanisa mengi yalowageuza Waumini chanzo cha Mapato yao, Yangefungiwaaa mara Moja, Utakatishaji wa Pesa Umekithiri

    Mtu ana Waumini hata Mia hawafiki, anaendesha Magari ya Million 300+ , anajipost anachezea Pesaaaa . Ukweli ni Kua, Hakuna Mtumishi wa Mungu ambaye ana Mungu anayeweza jisifu juu ya Mali zake ,Magari, Fedha, Majumba n.k. Hawa Watumishi nyuma yao wameendesha Biashara Haramu za Madawa...
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

    Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap. Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa makanisa ya TAG, FPCT, EAGT NK waambua ni kwanini fungu la kumi limekuwa kikwazo kwa sisi walokole wa Leo

    BWANA YESU ASIFIWE...Haleluya... Shalom.., Naomba kwanza nitambulike kuwa sipingi fungu la KUMI ila naweka wazi kitu MHIMU Ili tusiebdelee jinsi ilivyo kwa wengi wetu. Fungu la kumi limeonekana KIKWAZO KWA WALOKOLE WA LEO kwa sababu; 1.Limefanywa kuwa njia ya kujipatia utajiri kwa viongozi wetu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sina shida na kina mama wanaoenda kwa maamuzi yao makanisa ya fake pastors, nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko

    Sina shida na kina mama wanaofanya maamuzi yao kwenda kwenye makanisa ya fake pastors, ila nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko. Mtaji mkubwa wa makanisa mengi ya aina hii ni akili changa za watoto ambao bado hawajajua mengi kuhusu maisha na imani, hivyo huwa rahisi sana kuwajaza...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Makanisa yangeruhusu tukawa tunasali kanisa lolote

    Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetokea wapi au una sali wapi ?? Itatusaidia kufocus na Mungu badala ya kufatiliana kibinafsi 🤔
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwaelewa wanawake ila mwanaume unaendaje kanisa la mazingaombwe, muziki mnene na kumtolea sadaka mchungaji aishi kifahari ?

    Ni rahisi kuwaeliwa wanawake wanaoenda makanisa haya kwasababu wao wana hitilafu kidogo kwenye imani, ni rahisi kuvutwa na mazingira haya. Kwao haya makanisa ya miujiza, muziki mnene, ni kama sisi wanaume tunavyoangalia mpira zile kelele, shangwe, kutambiana na mpira ukiisha unasema “leo ilikuwa...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi. Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live. Hii ni mifano michache tu •Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela. •Kuombewa hela •Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk...
Back
Top Bottom