Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa wateja watapata wapi jibu au wamtake waziri wa uchukuzi ajibu kwa niaba ya shirika?
Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii.
Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising yenye tija inahitaji uelewa wa kina na wa kimkakati wa "constituency" yako au kundi la watu wenye nia...
Kampuni ya Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Uganda National Oil Company (UNOC), zimeingia makubaliano ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) jijini Tanga wenye thamani ya takribani Dola za Marekani...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. Massana Gibril Mwishawa ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa...
Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu.
Kigawe kikubwa cha shirika (KKS) kinaweza kukusaidia kujua size ya tiles ili kupunguza upotevu (wastage) inayotokana na kukata kata...
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026.
Kuanza...
Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso
Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idara
idara ya afya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la...
Watu wengi wanaamini Illuminati ni ushetani lakini uhalisia wa illuminati haupo kama unavyo dhaniwa hili shirika lilikuwa na lengo zuri.
The issue ni our programmed mind we know and believe what we have been told and ignore other learning opportunities.
Wanaukumbi.
Chombo cha habari cha Iran Tasnim kinaripoti kwamba Iran haijawahi kuomba mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani, ikipinga moja kwa moja madai yaliyotolewa na katibu wa habari wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt. Kulingana na ripoti kutoka kwa chombo hicho cha habari...
Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha.
ICAP ni International Center for AIDS Care and Treatment Programs kwa Geita na Mwanza ila kwa...
Anonymous
Thread
geita
januari
mkataba
mshahara
shirika
wafanyakazi
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu
1. Mkataba wa kudumu company namba
2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja
3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja.
Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.