milioni 1

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Responded DC Mpogolo: Atakaye tupa taka Ganda la Ndizi na Pipi faini Milioni 1, Dar

    MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vitambulisho Milioni 1 na nusu na zaidi vya NIDA viko tayari, nendeni mkavichukue

    Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako." Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa kwenda kuchukua vitambulisho vyao. Tunayo changamoto, kama nilivyosema kwenye takwimu, tumesajili...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  6. UTPC

    JamiiForums Tanzania Adha ya maji Mkwajuni Mkoani Songwe: Mahitaji ni lita Milioni 4.36 kwa siku, uzalishaji ni Lita laki 8 - Milioni 1 kwa Siku

    Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si safari ya burudani wala hiari, bali ni mapambano ya lazima ya kusaka nishati ya uhai maji safi na salama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kipato chako kwa mwezi hakizidi Milioni 1, Mafuta kwa siku si chini ya elfu 20, Bro ! endelea kulinda Brand, soon utaanza kula vitumbua na Mo Chungwa

    Ukisikia gari ni liability basi ndio hii Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku, Sasa imagine mtu...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msanii chipukizi yupo hodi akijiuguza maumivu baada ya kurekodi audio milioni 1 na video ya milioni 5 halafu kapata views 200

  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

    Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣 Kuna watu ni very...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

    Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter. The plan is under serious enough consideration that the US has...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  14. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

    Kwema wakuu! Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata? Unaweza pia kushare uliitumiaje? Cc: Mshangazi dot com | Demi | Red black | Half american | Mallerina | Intelligent businessman
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wenye ulemavu wamchangia Rais Samia milioni 1 ya fomu ya kugombea Urais 2025

    Wakuu, Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

    Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake. Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
  18. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  19. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 1 nikajitafute wapi wakuu?

    Kwasasa nipo Morogoro. Nina milioni moja napanga nikizalishe niingize chochote kitu, maisha yasonge. Nawaza kwenda Dar nikauze mkaa.
  20. G

    JamiiForums Tanzania nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
Back
Top Bottom