Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi.
Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye team kuna wenye 50+
Niishije na hao ma legend ambao wako mda mrefu kazini.
Ku act hii position...
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
Defilement ni kosa la kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto. Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, sheria ya Kenya inaweka adhabu kulingana na umri wa mtoto wakati kosa lilipotendeka.
Mtoto mwenye miaka 11 au chini:
Mtu anayepatikana na hatia ya defilement anahukumiwa kifungo...
Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
Wakuu habari za muda huu.
Naitwa Sarah Hizza
Umri: 24
Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024.
Mahali nilipo kwa sasa: Tanga
Natafuta kazi yeyote ya halali
Mawasiliano: +255611084361
Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho...
Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema...
Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo
Bas...
Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
#MICHEZO: Golikiwa wa Klabu ya Jamus FC Goodwill Yugusuk ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini ya vijana wa chini ya umri wa miaka 23.
Yagusuk pia amewahi kuiwakilisha Sudan Kusini katika kikosi cha chini ya miaka 20, pia timu ya Taifa ya wakubwa.
Kinda huyo kwa sasa ana umri...
Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana.
Mpango huu utawezesha kila mtu kuwa na namba ya utambulisho wa kipekee kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi...
Nina wasiwasi kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udereva, ambao unaonekana kutokuwa na ukomo wa umri wa mtu kuendelea kuendesha gari.
Kuna baadhi ya wazee ambao umri wao umeenda sana, pamoja na watu wenye changamoto za kiafya au ulemavu, lakini bado wanapewa au kuendelea kutumia leseni za...
Anonymous
Thread
barabarani
changamoto
leseni
udereva
ukomo
umri
wazee
Hapo VIP!
Nimekutana Na mama mmoja wa kizungu ni mtamu balaa kuliko waafrika.
Itoshe kusema wazungu niwatamu kuliko waafrika.
Aliyesema wazungu niwabaridi ni sawa MTU analiyesema sisitaki mbichi hizi.Ni sawa wale wadada wanaosema wanataka wakaka weusi kumbe moyoni Anapenda mweupe Na husema...
Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili .
Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri...
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.
Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.
Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu...
Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35...
Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.