jezi

In Slavic folklore, Baba Yaga (; Russian: Баба-Яга, tr. Bába-Jagá, IPA: [ˈbabə jɪˈɡa] (listen)) is a supernatural being (or a trio of sisters of the same name) who appears as a deformed or ferocious-looking old woman. In Slavic culture, Baba Yaga lived in a hut usually described as standing on chicken legs.Baba Yaga may help or hinder those that encounter her or seek her out. She may play a maternal role and has associations with forest wildlife. According to Vladimir Propp's folktale morphology, Baba Yaga commonly appears as either a donor, villain, or may be altogether ambiguous. Her depictions vary greatly across tales, ranging from a child-eating monster, to helping a protagonist find his missing bride.
Andreas Johns identifies Baba Yaga as "one of the most memorable and distinctive figures in eastern European folklore", and observes that she is "enigmatic" and often exhibits "striking ambiguity". Johns summarizes Baba Yaga as "a many-faceted figure, capable of inspiring researchers to see her as a Cloud, Moon, Death, Winter, Snake, Bird, Pelican or Earth Goddess, totemic matriarchal ancestress, female initiator, phallic mother, or archetypal image".

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Waziri mzima unaenda kugombania usupply jezi badala ukomae timu inashinda vipi

    Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Makonda na sakata la Jezi: Mgongano wa Maslahi?

    Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile. Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa Habari na Michezo 2023, naye ana lake. Cha kushangaza ni kwa nini sakata jhili liko mbele ya umma...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Muuza Kangala: Wananchi wanasema jezi zinafaa, Waziri anasema ni mbaya kunani?

    Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai. Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  9. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

    Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake. Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana. Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa. Wanasema Dunia...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Makonda kuunda kamati ya kuchunguza zabuni jezi za timu za Taifa.

    Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa. Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Makonda afika Barcelona, akabidhi jezi yenye jina la SAMIA na lake

    Ila TANZANIA
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM kifo cha Mende

    Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia 10 badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena. Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Fabrizio Romano Atambulisha Jezi za Ligi ya Mabingwa za Yanga

    Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/2027.
  19. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  20. C

    JamiiForums Tanzania Wauza jezi feki za Simba wamejitokeza kumshambulia Jayrutty,wafuatiliwe

    Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya mzabuni wa Simba. Wamejitokeza wazi nashauri wafuatiliwe mwanzo mwisho maana inaashiria licha ya kuwa...
Back
Top Bottom