tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TPA yapunguza Tozo ya uendelezaji miundombinu kwa asilimia 50

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kupunguza tozo ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) kutoka asilimia tisa hadi asilimia 4.5 ya kodi ya forodha. Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Dk. George Fasha, amesema uamuzi huo unalenga kuongeza ushindani wa...
  2. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mradi wa MVICs, ni Usalama barabarani au Serikali Imepata chanzo Kipya cha Mapato?

    Ndugu wamiliki wa magari, pikipiki, na vyombo vyote vya moto, Utawala umewarudia tena, baada ya kuwapa ile tozo ya kuchangia dawa za kufubaza VVU na zingine nyingi kwenye mafuta, bado wanadhani mnavibunda vya kutosha na kuthibitisha hilo, Aprili 30, 2026, serikali kupitia PPPC na Jeshi la Polisi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Seleman Kokoso: Serikali iongeze tozo kwenye mawasiliano ya simu ili kusaidia kujenga barabara

    Mbunge wa Tanganyika (CCM), Seleman Kakoso amependekeza Serikali kuongeza tozo kwenye mawasiliano ya simu ili zisaidie kujenga miundombinu ya barabara. Kakoso ametoa mapendekezo hayo leo Jumatatu April 13, 2026 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO ATM za Equity Tawi la Moshi ni majanga, hela hazitoki, baadaye ukirudishiwa hawarudishi tozo walizokata

    Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza unaambiwa jaza claim form pesa itarudi baada ya saa 24. Baada ya hapo pesa inarudi ileile uliyotoa ila zile...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Iran yaweka kibanda cha tozo (Tollbooth) kutoza ushuru kwa meli zitokatiza kwenye mfereji wa Hormuz

    Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli. Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4 Picha na AP Ukiangalia katika picha hapo...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la Tozo hadi kwa Wasusi na Wachoraji tunakoelekea nahisi kutakuja kuwa na Tozo kwa wanaoenda Gesti ili Mapato yaongezeke

    Ni aibu kwa Taifa kama langu kutojua kabisa Vyanzo vya uhakika vya Kuingiza mapato. Tukiwadharau na kuwaambia kuwa HAMNA AKILI mnakimbilia KUTUCHUKIA na kutuundia VIKAO vya VIMKAKATI vya Kutunyamazisha mkidhani kuwa AKILI za Wananchi wa Taifa langu bado ni zile zile za UPUMBAVU MKUBWA mlionao...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  12. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa. Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
  14. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania TANAPA wamezembea makusudi kutengeneza daraja kogatende ili wapitishe agenda ya kuweka tozo kwenye kivuko

    Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara wa Mkata - Handeni hatupingi kulipa kodi, tunapinga kunyanyaswa, kudhalilishwa na kukamuliwa kwa namna isiyo ya haki

    MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe ameidhinisha sheria tata ya ulazima wa tozo ya redio kwa madereva wa magari

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameidhinisha sheria mpya inayowalazimisha madereva wa magari kulipa tozo ya redio kabla ya kuweza kusajili au kupewa bima ya magari yao – hatua ambayo baadhi ya watu wameielezea kuwa kandamizi. Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Utangazaji ya nchi hiyo ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Daladala Makumbusho ipo kwenye hali mbaya, inazidi kuchoka, Ushuru unatozwa lakini hakuna ukarabati

    Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala. Licha ya daladala...
Back
Top Bottom