meta

Meta (from the Greek μετα-, meta-, meaning "after" or "beyond") is a prefix meaning more comprehensive or transcending.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Meta AI inavyokusanya taarifa zako binafsi Mtandaoni

    Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi. Kwenye video hii Robins anasema alichapisha video iliyokuwa ikimuonyesha yeye na binti yake wakiimba ndani ya...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  3. Blueboy Jr

    JamiiForums Tanzania PASSWORD moja una login account zote za META

    META password moja kwa account zote. Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja . Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu. Again; Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aiburuza kampuni ya meta mahakani nchini Marekani kwa kufuta akaunti zake baada ya shinikizo la serikali

    Linaripoti gazeti la New york post(Marekani): Mshawishi maarufu wa mitandao ya kijamii anayeishi Santa Monica nchini Marekani na mwenye zaidi ya wafuasi milioni 10, anadai katika kesi mpya kwamba akaunti zake za mitandao ya kijamii zilifutwa baada ya kampuni ya Meta kudaiwa kukubali shinikizo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  7. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania META yakubali kulipa hadi Tril. 45.1/=, kesi ya watoto

    Meta, kampuni inayomiliki Facebook na Instagram, imekubali kulipa hadi $17.1B (Tsh. Trilioni 45.1/=) kumaliza kesi iliyohusisha madai kwamba mitandao hiyo iliundwa kwa namna inayoweza kuwafanya watoto na vijana kuwa na utegemezi wa matumizi ya mitandao. Kesi hiyo, iliyohusisha majimbo 29 nchini...
  8. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TCRA na Serikali mnapambana na JF mmewaacha Meta waue kizazi chetu?

    Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania. Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya. Wao adui mbaya kwa Taifa ni anayewakosoa sio anayefanya mambo kama haya ya Meta. Nimeangalia simu ya...
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

    Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo. Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya META inayomiliki WhatsApp, Facebook, Instagram, Threads, Messenger, inashirikiana na mamlaka za Serikali kukamata wahalifu

    Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii Mara kadhaa Kampuni hii imekuwa ikisaidia Mamlaka kukamata wahalifu wanaotumia njia ya mitandao ya Kijamii Ikiwa mamlaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Meta wapo kazini muda wote

    Meta muda wote wana process data hawalali , watumishi wa umma bado unasikilizia muamala tuuh hadi lini , ninaona post za walimu kama wote na nyingi sana . Mi yangu mawili amua uwe na boss zaidi ya mmoja au endelea toa comment hapa jamii forum na mbaya zaidi boss wako haendeshwi kwa comment .
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo linatisha na kutisha:Kampuni ya META inakuwaje kurespond kutoka CCM ndio META wapate ruhusa.

    Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META. Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku verify na kama ukiripoti fanyeni majaribio mnapata kizingiti cha CCM ni kama CCM ni mamraka ya TCRA...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: META waliisaidia Serikali ya Tanzania kufuta akaunti yangu ili kuficha maovu ya Serikali yasiwafikie Watanzania

    Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni...
  17. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania The Battle of numbers: Me (The ghost writer) vs Meta AI

    Who gonna having battle like this one😂😂...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Meta kuanzisha Huduma za Kulipia (Subscriptions) Kwenye Instagram, Facebook, na WhatsApp, Mipango ya AI Yaja

    Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

    Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa? Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao. Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation...
  20. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Meta AI

    Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
Back
Top Bottom