haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  2. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    (Temporary post) Kwa wakazi wa Dar. Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe. Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania MWALIM WA PHYSICS NA MATHEMATICS(COMPETENT) ANAHITAJIKA HARAKA SANA.

    1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA. 2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU CERTIFICATE (NACTE) AU VETA. NA EXPERIENCE YA KUFANYA KAZI Kwenye majengo marefu na umeme mkubwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukianza kumtongoza Mwanamke na akakukubali haraka, jitathmini!

    Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi 1.Una pesa 2.Mfanyakazi 3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia 4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo

    Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waombaji wengi wa mkopo wa HESLB, hasa sisi tuliotoka Diploma kwenda Degree. Kutokana na kuchelewa kwa matokeo ya Diploma, tuliopo kwenye kundi hili tulipewa siku 14 za ziada ili kukamilisha maombi yetu ya mkopo. Muda huo ulikuwa unatosha, na hatuombi...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

    Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa. Bila toba hatutoboi .
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Tunaomba jibu haraka sana

    Ndugu zangu leo yametokea maajabu! Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa.. Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi tu. Hicho kitu Hakija wahi kutokea katika historia ya jamiiforums, na je, wenye mods mnamajibu...
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaotoa ushauri wa jumla jumla kwenye kila jambo, ni janga lingine linalotakiwa kukemewa haraka sana

    Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla. Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
  9. Tumbili in town

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  13. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanasheria Anaejielewa Haraka iwezekanavyo Dar Es Salam

    Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nikiona vijana waliopiga pesa kwenye tech miaka ya 2000–2010 leo wanahangaika, najifunza kuwa hakuna ujuzi unaopitwa haraka kama wa teknolojia

    Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao yameshuka. Baadhi ni hawa Website designers - Ilikua deal sana enzi hizo, nakumbuka nikiwa nimepada...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  16. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Wakuu habari zenu. Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo, Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana. Au vipimo vinaweza kusema uongo? Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  18. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine. Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka. Nyege...
  19. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake) Na muda ulipita na...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
Back
Top Bottom