itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  3. papag

    JamiiForums Tanzania Tukifuata hatua hizi kila sekta itakuwa MSHINDI

    SMALL MIND CREATE A GAP–LAKINI VISION KUBWA HUUNDA MFUMO UNAOFANYA KILA UPANDE USHINDE Kama Mtanzania mwenzako, wacha nami nitie neno kwa kutumia kalamu ya wino wangu. Nimesikiliza hoja. Nimesoma maoni. Nimeangalia reaction za watu waliokubaliana na waliopinga. Na nimegundua kitu kimoja...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Cross - examination kati ya Lissu na Samuya itakuwa hivi

    Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama Samuya : Naitwa Samuya SH Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani? Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano) Lissu: Kwa Sasa unashikilia nafasi Gani. Samuya : Ni Rais wa Tz Lissu: hebu eleza mahakama...
  5. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipofikia kuna hatari ambayo itakuwa kama ilivyofanya rwanda na burundi.

    Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri. Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu. Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu. Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi NMB Jumatatu itakuwa lini

    Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi. Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
  9. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Bonyeza Nyota itakuwa ya kwako...

    Nimekuwa nikisikia hivyo na sikuwa nafuatilia sana hilo jambo. Mara nyingi nmekuwa nikisia... Bonyeza Nyota itakuwa ya kwako. Je umewahi shawishika kubonyeza nyota? Ikawa yako? Je umeona kuna faida yoyote katika hilo? Mimi binafsi hayo matangazo hayajawahi nishawishi kuanza kubonyeza nyota. Na...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  12. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe Kutekwa na Genge la Wazanzibari, Wamarekani Walikuwa Sahihi Kuogopa Zanzibar Ikiachwa Itakuwa Nyumba Ya Magaidi

    Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama tutavuka ili basi ndio itakuwa mwanzo na mwisho kama 1.Raisi mwanamke, 2.Kutoka visiwani.

    Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake. Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu. Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa. 2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Kabobe: Kuifuta CHADEMA itakuwa sawa na kutia chumvi kwenye kidonda

    Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka Sheria...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dangote ana dola bilioni 45 zinasuburi kuwekezwa kwenye LNG plant Nigeria na refinery East Africa. 2030 miradi hiyo itakuwa tayari.

    Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

    Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  18. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naona mishahara na pensheni, vimetoka tangu jana, tumieni kwa uangalifu, payment day ya April itakuwa ndefu

    Ni angalizo tu, maana sikukuu huwa zinatutia kichaa! Tumieni kwa busara. Naona huku "Waja Leo Waondoka Leo" hekaheka hazipimiki! Sikukuu njema
Back
Top Bottom