nchi jirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  2. Lord denning

    Tunayopendekeza yafanyike Tanzania hayafanyiki alafu Nchi jirani Wanafanya kweli!

    Nilichogundua mambo mazuri ya maana kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya nchi yetu yanayopendekezwa yafanyike nchini kwenye hili jukwaa Viongozi wetu hawayachukui zaidi a kuchukua mambo ya kisiasa kwa faida zao za kisiasa. Iliwahi pendekezwa humu suluhisho la tatizo la umeme. Viongozi wetu...
  3. Don Calipso

    Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  4. Blender

    Vijana wanasajili Bunifu Nchi Jirani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye @Nnauye_Nape amesema baadhi ya Vijana Wabunifu wa TEHAMA imewabidi wakasajili ubunifu wao katika Nchi za jirani sababu ya kutokuwepo kwa Sera ya Kampuni changa za TEHAMA (Startups) nchini. “Kwa muda kidogo Sekta hii imekuwa...
  5. BARD AI

    Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  6. J

    Je, ulishapata kuwazia Raia wa Jimbo la Nchi kutaka kujitenga na kuwa sehemu ya nchi Jirani?

    Hicho ndicho kinachotokea katika Jimbo la Gilgit-Baltistan la Pakistan ambalo ndiyo Jimbo pekee nchini pakistan lenye raia wengi ambao ni Washia. Kwa kifupi nchi ya Pakistan Raia wake wengi ni SUNN na Serikali ya Pakistan inaongozwa na sharia. Kutokana na malalamiko ya muda mrefu ni kuwa...
  7. Nyendo

    KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  8. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  9. Lord denning

    Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Jirani anatapa tapa!! Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
  10. HERY HERNHO

    Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  11. benzemah

    Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  12. NetMaster

    Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

    Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na wenye asili ya asia, Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko...
  13. Jeff

    Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

    Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
  15. February Makamba

    Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

    USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland. Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana. Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
  16. Kijakazi

    Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

    Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa...
  17. M

    Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  18. Mboka man

    Why Dogo P kawatekeleza mataga tangu apate shavu nchi jirani

    Kuna siku niliwahi kuandika Uzi kuhusu dogo p sio mtu wa kumuamini basi wafuasi wake na wale mjomba walinishambulia sana kwa maneno hadi nikajiamuria kukaa kimya Sasa Leo hii huyu dogo p kapewa shavu hapo nchi jirani saivi katulia mataga kimyaaaa
  19. A

    Elimu ya wanasheria wa Tanzania vs wa nchi jirani

    Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji? Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda You are one of the top lawyers in the country. Was this your childhood dream? I never intended to be a lawyer. I...
  20. CIA mgumu

    Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
Back
Top Bottom