facebook


 1. N

  Je, Facebook ni wadukuzi...?

  Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo mtandao huu umekuwa ukitumia taarifa zilizo kwenye simu ya mtu hususani majina ya watu au namba za walio...
 2. Mapensho star

  Naomba msaada napata error login with facebook

  Habari za siku wadau Na site yangu nataka niweke urahisi wa mtumiaji kulogin kwa facebook bila kuangaika kujisajili sasa nimeijaribu hii app ya Facebook nikitaka niifungue napata error hii "URL Blocked: This redirect failed because the redirect URI is not whitelisted in the app’s Client OAuth...
 3. Bakulutu

  Facebook yawezakana ikawa janga jipya duniani.

  Habari GT. Najua wengi wetu hapa tuna tumia Facebook "either direct or indirect" Kwa kipindi kifupi toka Facebook aongeze kipengele cha VIDEO kimeifanya kuwa sio sehemu salama kabisa kimaadili. Kwa nini? Kama umegundua sahivi ukijaribu kufungua video mfano labda ni sehemu ya taarifa ya Habari...