ustaarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Mbezi ya Mikojo! Imejaa Muda Wote, Si Ustaarabu Hata Kidogo Watu Kukojoa Hovyo! Ni Aibu Kubwa Sana

    Hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam, imekuwa ikilalamikiwa kutokana na watu kukojoa hovyo katika maeneo ya wazi, hali inayosababisha harufu kali ya mkojo na kuacha mazingira kuwa machafu. Kuanzia Mbezi Mwisho hadi Stendi ya Magufuli, baadhi ya maeneo...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi kushiriki katika maswala ya kisiasa kwa njia za amani na ustaarabu

    Wakati akizungumza katika hafla ya Baraza la Maulid Kitaifa 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi kushiriki katika masuala ya kisiasa kwa njia za amani na ustaarabu.” Kuhusu misingi ya uhuru nchini Tanzania: "Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama,mama ya ustaarabu africa.

    Nimejaribu kuyatafakari yanayotokea hakika ni ustaarabu wa haki za kidemokrasia uliopitiliza,leo hii litokee hili kwa heche patachimbika!,japo ni makamu katika vyama vya upinzani
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye nywele na kwanini unyoaji wa nywele uonekane kama ustaarabu na utanashati

    Nywele si mapambo tu ya kichwa Katika mitazamo ya kale ya Kiafrika bali ni kiungo cha kiroho, cha mawasiliano, na chemichemi ya nguvu ya mtu. Katika jamii nyingi za Kiafrika, nywele zilizingatiwa kama daraja kati ya ulimwengu wa mwili na ule wa kiroho. Hapo ndipo palipojificha siri kuu—kwamba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni: Mwizi na muuaji anapoamua kufundisha ustaarabu ili hali yeye bado ni mwizi na muuaji

    Leo nimeshangaa sana eti aliyeiba kura, kuua watu na hatimaye kuingia madarakani kwa nguvu. Anatoa somo la ustaharabu, amani na utulivu. Hii roho ya kishetani kweli na wala aibu ya dhambi haimo kabisa ndani mwake. Inawezekanaje unaongea hadharani kuhusu amani, utulivu uku wewe ukiwa umeua watu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Sikatazi watu waseme lakini tuseme kwa Ustaarabu

    Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Ucha Mungu na ustaarabu

    https://youtu.be/xY9IEEN2K6Y
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Itachukua muda kiasi gani binadamu kufikia ustaarabu wa asilimia mia moja!

    Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!. Naghafirika sana pale napoona...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

    Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri Chuki za kisiasa zimekithiri!?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado hawana utimamu wa kukubali kuwa hakuna aliejiumba. imekuwa kawaida sana kudhalilishana kwa mionekano ya miili (Body shaming)

    Imekuwa ni kawaida sana hapa Tanania kuaibisha au kutania watu kwa nia ya dhati ya kuwaaibisha kwa maumbile yao ya miili Mtu awe na pua kubwa ataitwa mapua, atataniwa pua yake kama nguruwe, Mtu awe na masikio makubwa ataitwa popo, ataniwe masikio kama sahani Mtu awe na lips kubwa ataitwa domo...
  12. RRONDO

    JamiiForums Tanzania KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

    Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamasisha ustaarabu kwa wakazi wa Dar

    Wakaz wengi wa Dar hawana ustaarabu (civilization)
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  16. nipo online

    JamiiForums Tanzania Dalali ameniibia sh 10,000,sio ustaarabu lakini

    nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea, anadai haikutimia et jamaa nilimwamini tumezunguka sana hii jioni kutafuta chumba hatimae tukapata. nimetoa kwa wakala nikamkabidhi laki...
  17. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

    Wapenzi wanajamii Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya...
  18. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Tunafurahia ushenzi?. Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena

    Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena. Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa.. UShenzi haufurahiwi...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waafrika Ndio Walipeleka Ustaarabu Ulaya, Ila Badae Wakageuza Kuwa Ulaya Ndio Imeleta Ustaarabu Afrika

    Ulaya ilikuwa inanuka. Tena inanuka sana. Wazungu walikuwa wachafu, sema haya mambo hutokuja kuyasikia wakiyaandika kwenye vitabu vyao. Unawajua watu walioitwa Moors? Hawa walikuwa watu weusi waliokwenda huko Ulaya. Kuna ile nyakati Wazungu waliita Dark Ages, haikumaanisha kwamba jua halikuwa...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
Back
Top Bottom