chumba na sebule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  2. rubii

    Home tips

    Wakuu njooni, kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama? Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. Binafsi huwa naandaa home tips zinazogusa nje na ndani ya nyumba, sittingroom, kitchen area, Washrooms/Maliwato, bedroom. Basi karibuni nitakuwa naziweka hapa pia kama unayo unaweza...
  3. Nyuki Mdogo

    Mwanza: Nyumba ya Chumba na sebule kwa milioni 4 tu

    Habari zenu? nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20 Nyumba ni ya Chumba na Sebule Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4 kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
  4. Nyuki Mdogo

    Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

    Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza) Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana. Size ya kiwanja ni...
  5. Sky Eclat

    Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  6. M

    Nataka kujenga chumba na sebule ya dharura

    Wakuu habari za hapa jamvini? Nitumbukie kwenye mada yenyewe. Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
  7. Dalali Alpha

    House4Rent Chumba na sebule vinapangishwa

    Chumba na Sebule, Choo cha nje. Mahali: Mbezibeach Kwakomba. Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi. Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni. Maelezo Zaidi: 0716442950
Back
Top Bottom