Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.
Kwa mujibu wa TMZ, mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie (77), amelazwa ICU huko St. Louis, Missouri, baada ya kufanya tamasha Agosti 29 katika Ukumbi Wa The Muny.
Richie alipelekwa hospitalini kwa ajili ya vipimo, huku madaktari wakichunguza uwezekano wa upungufu wa maji mwilini...
Super star big Brand, Megan alipo kuwa anahojiwa kwanini mahusiano yake na mchezaji mkubwa wa kandanda, romeru lukaku hayakudumu.
Megan alijibu kifupi tu"nilichukua chumba cha hoteli, nilipo muomba lukaku pesa ya malipo ya hoteli, alidai jigharamie mwenyewe, hiyo ilitosha kabisa kuachana nae.
Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo.
Kama unataka...
Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
"Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa."
"Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?"
"Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?"
"kuna watu wanachezea hela."
"sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi."
"kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa
"Na...
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka.
Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na Felister Peter katika Mtaa wa Kikuyu, Juni 7, 2026.
Polisi wamesema mtuhumiwa alikamatwa katika...
Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani.
Budget...
Habari JF.
Hii hàpa sadakalawe "free hand" kutoka kwa fundi maiko kajumba cha kupangisha, sketch simple ya chumba, sebule na kajiko kadogo, Nyumba ni TWO in ONE.
Choo ni public kwa matumizi yako, familia yako, na wageni wako.
MATERIALS yote ya kusimamisha boma ni 5.5M (SI ZAIDI), kabla ya...
Moja kwa moja kwenye mada.
Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb?
Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya...
Umetulia zako ulikopanga, rafiki yako wa kijijini kuna siku anakucheki "mkuu naombaa nije kutulia kwako kama wiki moja kuna mchongo nasubiria."
Kwa heshima na support unamwambia "haina noma"
Kapiga mishe zake karibia mwezi lakini mambo hayakai sawa, unakuwa muelewa hakuna njia iliyonyooka...
Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI).
Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.