mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Meneja Wa Makampuni

  Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

  Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba? Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi? Sheria itaruhusu mwenye mimba kuendelea na Masomo kwa kujiamulia tu au...
 2. mama D

  Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

  Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
 3. ROBERT HERIEL

  Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

  SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
 4. S

  Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

  Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
 5. Naipendatz

  Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

  Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
 6. chaz beezz

  Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

  Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae. Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana...
 7. Frumence M Kyauke

  Unafahamu kuwa nchi ya Urusi imepitisha siku maalumu ya kupeana mimba?

  Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango cha idadi ya watu na kuongeza uzazi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na kutoa motisha ya...
 8. Uzalendo Wa Kitanzania

  Simanjiro: Auawa Kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga kwa kumpa ujauzito Mke wa mtu

  Simanjiro Manyara Mke wa mtu ni sumu walisema wahenga sote tujihadhari Mkazi wa Simanjiro Mkoani Manyara ambaye ni Daktari wa Mifugo ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya mchepuko wake ambaye ni mke wa mtu kukiri Ujauzito alionao sio wa mumewe bali wa mchepuko huyo Ndugu wa mume aliyeibiwa...
 9. J

  #COVID19 Chanjo za COVID-19 hazisababishi mimba kuharibika

  Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua kiwango cha kuharibika kwa mimba baada ya chanjo ya #COVID19 ni sawa na kiwango cha kuharibika kwa mimba...
 10. Frumence M Kyauke

  Watu maarufu waliopata vifungua mimba 2021

  Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na vifungua mimba wao. Hii hapa baadhi ya orodha ya watu waliobarikiwa na watoto wa kwanza mwaka wa 2021...
 11. K

  Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

  Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
 12. SubTopic

  Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

  Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
 13. Jerlamarel

  Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

  Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba. Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
 14. Lizzy

  Hakunaga mimba ya bahati mbaya

  Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga.... Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio...
 15. M

  Story of Change Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

  Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
 16. raiswenu

  Utafanyaje ukigundua mimba yako ilitaka kutolewa ili usizaliwe?

  Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi ya ndugu unao ishi nao. How will you react? Iko hivi nakumbuka nilikuwa kwenye...
 17. MissRaya

  Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

  Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥 Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...
 18. M

  Story of Change Mateso na manyanyaso wanayopata wajawazito mahospitalini mwanzo hadi mwisho wa mimba

  Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
 19. T

  Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini?

  Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini. Je, ni kweli husababishwa kutokushika mimba? Naomba tiba yake
 20. Miss Zomboko

  Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

  Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
Top Bottom