• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

 1. Njopino

  Vifundo vya mzunguko wa maisha

  Wasalaam wana Jf. wote Unaweza kuita majina yoyote fahafu mahusiano ya mambo au vitu hivi ambavyo kwa pamoja tuvijadili, ingawa Mimi nimeviita vifundo ambavyo vipo kwenye kamba inayoitwa maisha kuonyesha uhusiano wake, vitu hivyo ni Taarifa (information), Nguvu (power-leadership) na Pesa...
 2. leonaldo

  Nape awapa ushauri wa bure wenye roho mbaya!

  Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye...
 3. E

  Hello new member

  Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee (NINAMASWALI KIDOGO) -Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? ) -tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni...
 4. S

  Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

  Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nanyi Ndugu Zangu! Katika harakati za mahusiano kila mtu amepata uzoefu wake wa namna moja ama nyingine, kwa uzoefu wangu katika mahusiano nimegundua jambo moja ambalo vijana wengi wa kizazi hiki wanashindwa kukigundua! Mpenzi wangu ni mwanamke niliyemdekeza...
 5. Kingsharon92

  wajuzi wa katiba msaada tafadhali

  wapendwa wana jukwaa poleni na majukumu hebu wajuzi wa katiba nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo na ubishani kuhusu mamlaka ya rais kwa hawa watu 1 jaji mkuu 2 gavana benki kuu 3 CAG Swali ni kwamba je akishawaapisha a ana mamlaka ya kuwatumbua au kutengua uteuzi wao nawasilisha
Top