ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

    Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine. Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni ushirikina mkubwa au ni nini?

    Mbona off target zimekuwa nyingi sana? Pamoja na kuendelea kushukuru kwa h*hivyo vidogo* lakini ni muhimu sasa kujiuliza kuhusu wingi wa off targets Kwenye ngono pia kuna off target Kwenye kabumbu pia kuna off target Kwakuwa lengo ni on target..! Off target zikizidi Sana lazima watu wajiulize...
  4. brainstorm007

    JamiiForums Tanzania Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini miji mingi waliyotawala waarabu kuna kiasi kikubwa cha kutumia ushirikina wa majini ?

    Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k. Tanga Pwani Tabora Lindi Pemba
  6. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?, Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas, Ayatul Kursi,Surah Al- Jinn) zinasomwa kwa nia ya kuwasiliana na ulimwengu wa majini. Mfano,Surah...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

    MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA Mheshimiwa Kamanda Mulilo, Soka et al nao walikuwa wanadaiana? Mdude naye alikuwa anadaiwa, Mawazo naye alikuwa anadaiwa, Kangoye naye alikuwa anadaiwa? Na wengine wa kundi hilo la chadema Pili Mbona wote ni wa Chadema...
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  9. Festi mbuya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yenye changamoto za ushirikina na kulazimishana

    Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito niliendelea kumsapoti nilipoweza mpka ulipofika mwezi wa kumi na mbili ambapo alidai ujauzito...
  10. laii

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kuazima "kijinga cha moto" au "mkaa unaowaka" kwa nia ya kutumia kwenye ulozi au ushirikina

    🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa: 1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza. 2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kulala nyumba zenye uchawi au ushirikina, dawa hii hapa

    Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk. Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marejesho yanachangia sana uzinifu wa wake za watu na ushirikina kwenye ndoa

    Bw na bibi marejesho Naomba tu nikujuze kwa kweli ulipofikia sio pazuri Ingawa baadhi wanawapenda lakini hapana mpunguze makali ktk familia za watu Wapendwa nimeona niwajuze tu kwenye ndoa kuna mengi sana Kati ya mambo yanayotesa n marejesho.... Marejesho yamekuwq n shida sana ktk baadhi ya...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

    Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inakaa kimya ushirikina wa Simba?

    TFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane na ushirikina wa Simba kwa kuzipa faini timu zinazojitahidi kukwepa kukutana na ushirikina wa Simba...
  17. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Eti madaktari wa humu na wajuvi wa mambo, Hii ni kawaida mwenye mtoto wa miezi sita amejifungua mtoto mwingine

    Wasalaaamu,. Tuko na wapangaji wetu hapa,. Ni mtu na mke wake lakini sio watu wazima ni vijana tu wa kawaida... Huyu Binti mwaka jana mwezi wa10 tarehe za mwanzoni alijifungua mtoto( sikumbuki exactly ile tarehe tumeenda kumwona hospitali ilikuwa tarehe ngapi),. Means mwanae mpaka mwezi huu...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ushirikina kwa kutumia mshumaa na udi

    Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto... Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mti ulioanguka na baadae kusimama wenyewe Geita ni sayansi wala siyo ushirikina kama wengi wanavyoripoti

    Iko hivi! Kuna taarifa ya mti uliokuwa umeanguka kuonekana umesimama tena baada ya kukatwa matawi huko geita. Tukio hili wengi wamelihusisha na imani mbalimbali za dini zao! Lakini kiuhalisia mambo kama haya hutokea na kwa sisi tulioishi porini tushashuhudia sana wala si mara moja! Sayansi...
  20. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

    Wakuu habari. Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina . Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa -hapendi mafanikio yako -ukimwambia jambo lako halifanikiwi hata iweje -Ana chuki , anamchukia kila mtu -Hana Shukran Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba Hii hali...
Back
Top Bottom