META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja.

Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na Majina ya watumiaji na Nywila (Passwords), hivyo wameshauri wateja duniani kote kuhakiki taarifa za usalama wa akaunti zao.

Google imesema programu zilizobainika kuwa sehemu ya ulaghai huo ambazo ni za Kuhariri Picha, Games, Afya na zinazohusu Mitindo ya Maisha tayari zinaondolewa kwenye Google Play Store.

=========================

Meta Platforms Inc. said it would notify roughly 1 million Facebook users that their account credentials may have been compromised due to security issues with apps downloaded from Apple Inc. and Alphabet Inc.’s software stores.

The company announced Friday that it identified more than 400 malicious Android and iOS apps this year that target internet users in order to steal their login information. Meta said it informed both Apple and Google about the issue in order to facilitate removal of the apps.

The apps worked by disguising themselves as photo editors, mobile games or health trackers, Facebook said.

Apple said 45 of the 400 problematic apps were on its App Store and have been removed. Google removed all the malicious apps in question, a spokesperson said.

“Cybercriminals know how popular these types of apps are, and they’ll use similar themes to trick people and steal their accounts and information,” said David Agranovich, director of global threat disruption at Meta. “If an app is promising something too good to be true, like unreleased features for another platform or social media site, chances are that it has ulterior motives.”

A typical scam would unfold, for example, after a user downloaded one of the malicious apps. The app would require a Facebook login to work beyond basic functionality, thus tricking the user into providing their username and password. Users could then, for example, upload an edited photo to their Facebook account. But in the process, they unknowingly compromised their account by giving the author of the app access.

Meta said it would be sharing tips with potential victims on how they can avoid being “re-compromised” by learning how to better spot problematic apps that pilfer credentials, whether for Facebook or other accounts. The malicious activity occurred off Meta systems, Agranovich said, adding that not all 1 million people necessarily had their passwords compromised.

INDIAN EXPRESS/ CNN
 
Km unafikiri zaidi USA sio sehemu yakutumia sensitive information zako Kwa sasa. ..wanadukuliwa mnokwakua wamezidisha maadui na sasa vita kubwa sio kupigana Kwa mtutu. .watu wanakaa sebuleni kwake anatuma kitu.hata Web hosting hizi usiweke kule kilakukicha wanapigwa tena makampuni makubwa wanachofanya hawasemi iliwasiathirike kibiashara ilawanawakati mgumu sana sasa.
 
Mimi nahisi walijaribu lakini wakakutana na picha za Bibkia na maandiko Matakatifu wakasepa
 
Nia na madhumuni ya kuletwa hiyo mitandao ni kuwadukua watu na kuwa trace,popote pale ulimwengunini

Ova
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom