jirani

Actihema jirani is a species of moth of the family Tortricidae. It is found in Uganda. The habitat consists of open spaces close to mountainous rainforests.
The wingspan is 12–15 mm. The forewings are bicoloured. The basal half is fuscous intermixed with brown scales and with black marks and the distal half is whitish. The hindwings are light fuscous, with darker transverse striae.

View More On Wikipedia.org
  1. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Siri nyingine ya kuishi maisha yenye maana ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda

    Siri nyingine ya kuishi maisha yenye maana ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda. Lakini swali ni: unawezaje kujipenda? Kujipenda siyo tu kutambua uwezo wako, mafanikio yako na mambo mazuri uliyonayo. Pia ni kuwa na ujasiri wa kutambua udhaifu wako, kuukabili na kuukubali ukweli kwamba...
  2. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale VIWANJA KILUVYA MADUKANI JIRANI NA SHULE YA MSINGI TONDORONI

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  4. O

    JamiiForums Kenya Jirani akitupa duvet yako, unaruhusiwa kumwagia maji machafu nguo zake ambayo ameanika?

    Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi. Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
  5. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

    Ndugu zangu.. Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...! Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu. Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka, kufika mlangoni alikuwa yule jirani niliye wasimulia jana. Anasema simu yake imegoma ku unlock, kumbe...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

    Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu.. Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko.. Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi...
  8. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi jirani na msikiti na madrasa kwa mkristo je kuna athari yoyote?

    Kuna msikiti na madrasa vinajengwa jirani kabisa na nyumbani kwangu mimi ni mkristo, je wakristo wenzangu wenye uzoefu na mambo hayo nauliza tu kuna shida yoyote kuishi jirani na msikiti?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

    Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa. Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu wenzetu wanamaisha ya raha sana unaweza kuishi na jirani wala usimfahamu kuwa ni kiongozi

    Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa. Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo. Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo. Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jirani yangu muda wa kustaafu ulitakiwa 2025 ila kaombwa mpaka 2030.Ina maana gani Kwa Tanpol

    Jirani yangu hapa alistaafu mpaka na sherehee tukafanya ila bado anaendelea na bonus za kutosha. Ina maana cha kuwalipa pesa kubwa mkaona sasa wabaki waendelee kuwatetea CCM mfike mpaka 2030.
  14. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Jirani: Mwanaume Asiyeonekana

    Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi.. Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali, Sasa Yule mwanaume akamwambia atakuwa anakwenda kumtembelea kwake Ila asimwambie mtu yeyote yule...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Jirani akinyolewa wewe tia maji kichwa chako

    Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya Chanzo cha picha,NMG Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli...
  17. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu amefumaniwa usiku wa saa tatu na mume wake

    Wakuu vip hapo Nimepewa taarifa mbaya San kwamba jana majira ya saa tatu za usk jirani angu alimpost mchepuko wake aje ampige shoo fupi nje ya choo, choo Cha nje ya public Dad yule ni mpole sna jmn siku Dhani kama na yey angeweza kuwa na tabia mbaya ,binafsi niliwai mtaka lkn bas nikauchuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Tanga mjini jirani na stend

    Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania ISIS walivyofanya mauaji ya wakristo nchini Congo na, 2025

    === Islamic State massacres Christians in front of their families At least 60 people killed in...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Shuhudia Hiki Kinachofanywa na Pastor Huyu wa Jirani Zetu, kisha Compare na Kinachofanywa na ma Pastor Wetu!. Nimeguswa!

    Wanabodi Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni viongozi wa kiimani, kazi yao kubwa kuhubiri neno la Mungu, wengine wakifanya miujiza ya uponyaji na...
Back
Top Bottom