• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

tra

 1. Analogia Malenga

  Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
 2. mirindimo

  TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

  Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
 3. P

  ANAEIDAI TRA ASHTUKIA.KUUWAWA.. MH WAZIRI WA FEDHA..KAMISHNA TRA .NAIBU KAMISHNA ULIEHUSIKA MPENI STAHIKI ZAKE.MSIKIMBIZE WAFANYBIASHARA KARIAKOO

  HII NIMEIONA MILLARD AYO.INASIKITISHA SANA SNAAA HUYU JAMAA.N MF.BIASHARA NA MLIPA.KODI.MZURI TU ..MIZIGO YAKE.KADHAA ILIZUIWA NA MAOFISA WASIOKUWA NA NIA NJEMA TRA ILI WATOE RUSHWA IKAONEKANA ALISHALIPA NA HAKUKUWANNA SHIDA... JAMAA BAADA YA KULALAMIKA.SANA ILALA.TRA AKAENDA MBELE ZAIDI...
 4. T

  Ntunzwe adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

  Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
 5. Anti-Corona

  Kipi kinaendelea kwa nafasi za kazi zilozotangazwa na TRA kupitia utumishi

  Habari wanajamvi, kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist. Swali langu la msingi je...
 6. Analogia Malenga

  Maembe aiomba BASATA na TRA kutowatoza kozi wasanii kwa muda huu wa zuio la mikusanyiko

  Msanii wa muziki wa asili Vitali Maembe aliyewahi kutamba kwa kibao cha ‘Suma ya teja’ ameiomba serikali kuwasaidia wasanii kwa kipindi hiki cha marufuku ya siku 30 kama alivyotangaza waziri mkuu Maembe ameiomba Wizara, BASATA NA TRA kuwapa unafuu wasanii kuwa kutowalipisha kodi kwa mwezi huu...
 7. Janja PORI

  Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

  Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
 8. joshydama

  Nyaraka muhimu pindi unapotaka kujisajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

  Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
 9. BASIASI

  Huyu Rose Lyimo TRA ni nani hapo Kinondoni, anabadilisha kadi za watu za magari akionesha kadi feki za TRA na NIDA

  Kwa hii vid inayoendelea kusambaa mitandaoni ni aibu kwa taifa letu Tunaomba mh kamishna mkuu tra/waziri simba chawene muingilie kati Kijana akwiline marandu ametapeliwa lori lake ..mhalifu huyo amendda pale kinondoni akaonyesha kadi feki ya gari kadi feki ya nida Ajabu huyu dada ndie...
 10. N

  Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

  Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
 11. figganigga

  Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

  MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
 12. Analogia Malenga

  Wafanyakazi TRA kupandishwa kizimbani

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) mkoani Dodoma, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kosa la kushawishi na kupokea rushwa ya Sh milioni moja. Rushwa hiyo inadaiwa walichukua kutoka kwa mfanyabiashara wa jijini...
 13. beth

  Waziri Mkuu afuta mnada wa mazao wa TRA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka, ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7 mwaka huu. Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo, kutangaza upya zabuni, baada ya kutoridhishwa na taratibu zilizofanyika awali. Mnada huo unahusisha mahindi tani 5,000 na ngano tani...
 14. Kilele9

  TRA, NIDA na TCRA zishirikiane

  Viongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu. Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata...
 15. YEHODAYA

  Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

  Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi. TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza. Hawa wawili ndio mashetani...
 16. Hakimu Mfawidhi

  Mafanikio ya TRA kwa miaka 4, yakusaya Trillion 58.3 sawa na Trillion 14.575 kwa mwaka, sawa na Billion 1.2 kwa mwezi.

  Jana mamlaka yetu ya mapato ilitangaza mafanikio yake kwa miaka 4 iliyopita na kutoa takwimu za makusanyo yake kwa miaka 4 ya kipindi cha uongozi wa mheshimiwa rais Magufuli. TRA wamesema wamefanikiwa kukusanya Trillion 58.3, ambayo ni sawa na makusanyo ya Trillioni 14.575 kwa mwaka na sawa na...
 17. elivina shambuni

  TRA yakusanya tril. 58.3/- miaka minne ya Rais Magufuli

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
 18. Mpinzire

  Kituo cha mafuta cha Oil Com Buguruni Malapa hakitoi risiti. TRA mnalifahamu hili?

  Asalaam Alyekum, Tumsifu Yesu Kristo wanajamvi, Leo nimeona bora nawajulishe wanajamvi pia TRA kupitia hizi kurasa zetu pendwa za JamiiForums ya kwamba kituo cha mafuta cha Lake oil kilichopo Buguruni Malapa jiji Dar-es-Salaam hawatoi risiti pindi unapoenda kununua mafuta, kisingizio chao...
 19. J

  Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

  Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi. Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
 20. Erythrocyte

  Kuelekea sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya, wanaoenda kuhesabiwa waguswa na TRA

  Habari kamili hii hapa. Je, maeneo yaliyotajwa hayana mameneja wa mikoa, kwanini Meneja wa Kilimanjaro ndiye awe msemaji wao?
Top