Unachat naye WhatsApp, akichelewa kujibu ukimuuliza anasema “sina bando linakaribia kuisha.” Ukimsaidia hela ya bando, unategemea mawasiliano yatabadilika.
Bado ni yaleyale: anaonekana online, anaweka status muda wote, lakini message yako akiiona anakaa kimya mpaka umsisitize. Next day...