Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,
Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.
Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.
Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.
Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia...
Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
Habari wakuu,
Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF.
Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano.
Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4
Dondoo
Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu.
Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike,
Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond
Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
DeletedMember281674
Thread
diamond
gesi
hazina
mtoto
mtoto wa
soda
wanaume
zao
Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana
👇👇👇
Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura.
Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?
Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
Mwanaume anayekusaidia kutoa miguno wakati wa kudinyana. Anakuuliza “Vipi mama nakuumiza mke wangu? Pole beibeyyy 😘 Misumari kilo moja
Halafu kuna Yule anakuangalia usoni kisha anakuuliza nini mamaa nipunguze kasi? Unamjibu hapana traaamuuuu 😹😹😹 Misumari kilo mbili
Halafu kuna yule anataka...
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti
"Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao, wanabeba mabegi ya madaftari, na kuelekea shuleni kutafuta ufunguo wa maisha yao ya baadaye. Lakini...
Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi.
Katika baadhi ya mila za sherehe za kijadi, wanaume wa jamii hiyo hujitokeza wakicheza ngoma wakiwa uchi au wakiwa wamevaa mavazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.