unapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

    Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded. SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia malipo kwa siku unakuwa bado hujajua ugumu wa kazi unajipa moyo nitakomaa ila anadai mateso yaliyoko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  4. R

    JamiiForums Tanzania JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  5. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

    Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
  7. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?

    Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako? Usihangaike tena — tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA. Tunatoa huduma zifuatazo: ✔ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns ✔ Income Tax Returns (Individuals & Companies) ✔ SDL, PAYE &...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  10. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

    Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini? Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa 150,000/= TSh unapata mashine ya kutotoleshea

    Mashine ya mayai 30 ipo kwenye offer kila mtu apate bei ni 150,000/= TSh. Zipo pc 100 tu. Karibuni Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa Ndevu darajani njia ya kwenda jeshini. Wateja wa mikoani tunatuma baada ya malipo. Piga simu 0656 446 991
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  16. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania 🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama hakupi uhuru wa kumkosoa unapata wapi nguvu ya kumsifia?

    Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa. Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia. Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na $8,000 unapata Mac Pro mpya kutoka Apple, au unapata BYD Seagull EV na makaratasi yake!

    Maisha ni kuchagua, hustle zako, pesa yako! Mac Pro kutoka Apple official website inauzwa $8,000+ tu, mpya. Kwa wataalamu wa computer, hii ni CPU peke yake bila screen (monitor yake), ila utapewa na touchpad na keyboard kwa hiyo bei. (Total bei cheki picha hii kwa juu)! Specifications: RAM...
  19. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
Back
Top Bottom