https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j-
Anasema:
1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini...
2. Amemtaka mtu...
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?
UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.
Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri.
Vijana hao, ambao hawana utambulisho rasmi, hujifanya kuwa askari na wanapokamata chombo, hasa pikipiki, hukisogeza eneo la vyoo. Baadaye...
Anonymous
Thread
abiria
boda boda
daladala
mbezi mwisho
rushwa
stendi ya daladala
Wakuu
Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ezra Kachelo amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kumfukuza afisa wa polisi wa usalama barabarani (trafiki) aliyekuwa akituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa matatu katika Kaunti ya Kiambu.
Katika video iliyosambaa...
Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa.
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imewahukumu aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamusta, Daniel Gidambisye Murayda, pamoja na Mhasibu wa shule hiyo, James Cosmas Bazil, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya matumizi mabaya ya...
Marafiki zangu ambao wana kampuni za ujenzi wanasema kila kampuni ninlazima zitoe 10% kwenye kila mradi. Lakini pesa ikichelewa kuna riba🤦🏾♂️
Umasikini na wetu ni huu uongozi fake unaleta
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣
Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
Anonymous
Thread
haki
kuharibu
kutoa
maisha
ngono
rushwarushwa ya ngono
wanafunzi
zao
Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja, limekuwa kimya bila kushughulikiwa hadi hivi karibuni.
Sasa tumeanza kupigiwa simu na watu...
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa.
Soma Pia: Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi...
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Ripoti nyingi zinaonyesha tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa ambayo inakwamisha maendeleo mengi, akisitiza kuwa rushwa imekithiri hasa siku za hivi karibuni...
Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya.
Kwa sasa anapigania maisha...
Anonymous
Thread
harufu
harufu ya rushwa
hospitali
icu
mwenzetu
rushwa
watumishi
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari.
Katika hicho kituo...
Anonymous
Thread
barabarani
hizi
lori
madereva
madereva wa lori
rushwa
sana
tuhuma
tuhuma za rushwa
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Watumishi wa Ofisi ya NIDA Nzega pamoja na kiongozi wao wanadaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi. Baadhi ya wahudumu wana kauli zisizo za kiungwana, huku wananchi wakidai kuwa bila kutoa rushwa ni vigumu kupata huduma.
Pia, kiongozi wa ofisi...
Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri.
Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
Anonymous
Thread
baada
kupata
kutoka
nssf
private
rushwa
stahiki
suala
viashiria
wafanyakazi
Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.