watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumiaji wa Vituo vya Mwendokasi Barabara ya Morogoro Wapo Hatarini Kugongwa Wanapovuka Barabara

    Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni. Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
  2. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

    Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imeachia update ya Android 17 QPR Beta 1 kwa watu wa Pixel

    Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡ Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je 🚀 Nini kipya kwenye Beta 9 ? 🔄 Fix ya reboot loop...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania watumiaji wa mirungi wapo wengi na bangi ila mbona mnazibiti wakati mpaka ikulu wanatumia.

    Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu. Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana . Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
  7. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eric Shigongo Asema Atayafikisha Mahakamani Malalamiko ya Watumiaji Kuhusu Bando za Intaneti

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia. Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB

    Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa. Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
  9. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa AliExpress, Msaada wenu tafdhali

    Mimi nimetumia AliExpress muda kidogo umepita, mwaka 2025 nilitumia mara moja tu, tena pale mwanzoni, juzi hapa naingia nahitaji kuagiza kitu nakuta mauza uza. Shipping method ni moja tu, "Free shipping" na hakuna option ya kuchagua na hujui nani ataleta mzigo, pia muda ni mrefu sana, mfano na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata Iragua akitoa Mwongozo kwa Watumiaji wa Barabara kuepusha Madhara

    Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto ya upitikaji wa barabara ili kutokuleta madhara kwa vyombo vta usafiri na watumiaji wengine wa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

    Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka. Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Dangote kupaki barabarani (Old Morogoro Rd) maeneo ya TANITA kueleka Mwendapole imekua kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika maeneo ya TANITA na Mwendapole kutokana na msululu mrefu wa Magari ya Dangote yanapark barabarani na...
  17. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Router za vodacom na tatizo la internet

    Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa. Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi. Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

    Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao . Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
Back
Top Bottom