Je, ni ustaarabu ukiwa kwenye Daladala na una simu ya Tsh Milioni 1 na Laki 7 kisha kudai kwa kelele chenji ya Tsh 100 kwa kondakta?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,111
Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje?

Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya Mhusika ila sometimes unaweza Ukadharaulika na Hadhi yako Kushuka kwa Ushamba na Ujuha kama huu.

Na huyu Mwamba niliyekutana nae leo Kimwonekano wake si kwamba ana Dhiki ya Kimaisha kama Mimi GENTAMYCINE bali anaonekana ni Mtu mwenye Maisha yake mazuri ila alikuwa anakomaa kudai Chenji yake ya Tsh 100/= kwa Kondakta ndani ya DalaDala kama vile Beki wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto anavyowakomalia Washambuliaji Hatari ili Wasifunge Magoli.
 
HII THREAD IMEPITISHWA VIPI NA MODS? MBONA HAIJAKAA SAWA KULETWA KWA WATU WENYE AKILI ZAO??? 🤣
Mnanichukia na Hamnipendi lakini Kutwa mnanifuatilia na kusoma sana Threads na Posts zangu hapa JamiiForums. Nikiwaita Majuha ( Fools ) nitakuwa nawakosea / nakosea?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Mkuu nifanyie mpango wa kupata fremu Ile kona ya kuingia Kwa Best yako Mwamposa ukitokea Mwenge.

Lini wana anza kupangisha??
Za usawa ule zote Boss Mkunda kawaambia Wabomoe kwani ni Uchafu na ni Hatari pia Kiusalama ila naona Walioambiwa na kupewa Maagizo hayo Wanambwelambwela tu. Sijui hawajui kama Jamaa ni Special Force ( Commando ) na hana Mzaha wala Masihara Kiutendaji na Kimedani.
 
Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje?

Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya Mhusika ila sometimes unaweza Ukadharaulika na Hadhi yako Kushuka kwa Ushamba na Ujuha kama huu.

Na huyu Mwamba niliyekutana nae leo Kimwonekano wake si kwamba ana Dhiki ya Kimaisha kama Mimi GENTAMYCINE bali anaonekana ni Mtu mwenye Maisha yake mazuri ila alikuwa anakomaa kudai Chenji yake ya Tsh 100/= kwa Kondakta ndani ya DalaDala kama vile Beki wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto anavyowakomalia Washambuliaji Hatari ili Wasifunge Magoli.

Ndio ni ustaarabu sababu anadai chenji yake.
 
Ushawahi kwenda dukani kwa Mhindi ukapeleza sh 50 akakuuzia unachotakaa. Jibu ukilipata utakua unaelewa umuhimu wa hyo 100
 
Mi nadai Chenji yangu japo sio Kwa kelele ustaarabu ni kuwa kondakta arudishe Chenji haijalishi uwezo wangu wa kifedha au vitu Kama simu ,nguo na viatu nilivyovaa
 
100 inaonekana ndogo kithamani lakini ,kama ni change yako ni haki yako kudai kivovote vile ,maana hata huyo konda ukipungukiwa na hiyo 100 hawezi kukuelewa ,atakuzalilisha tu.
 
Back
Top Bottom