sebule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dalali msumi

    JamiiForums Tanzania Chumba Masta na Sebule in Mbezibeach

    Chumba choo ndani na Sebule, Umbali wa Kutembea, Kodi 150,000 Kwa Mwezi,
  2. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Chumba kimoja , sebule na choo ndani kipo, maeneo kinyerezi mbuyuni

    Piga 0684101707 kwa mwenye uhitaji... ( mwenye nyumba )
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  4. dalaliami

    JamiiForums Tanzania House4Rent Masta Sebule Jiko in Mbezi Beach

    Chumba masta Sebule na jiko ndani, Umeme luku yake, maji ndani, fensi geti na parking ipo. Kodi kwa Mwezi - Tsh 200,000 Maelezo Zaidi - 0716442950
  5. Hharyson

    JamiiForums Tanzania HII INAWEZA NGAPI?? 6BEDROOMS, SEBULE 3, TERRACE

    CALL US +255624004650:D:D :D :D
  6. Hharyson

    JamiiForums Tanzania UMECHOKA KUKAA NYUMBA ZA KUPANGA NA UNA PLOT NDOGO ANZA NA HII NYUMBA UTANISHUKURU 3BEDROOMS NDOGO SEBULE JIKO 2BATHROON HAINA DINING 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONS SERVICES KAZI YETU NI MOJA TU KILA MTANZANIA ANAANZA KUISHI KWAKE CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  7. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mbagala

    Wakuu habari Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ujenzi chumba sebule Jiko na choo

    Habari wapendwa Samahani, naombeni makadirio ya ujenzi wa chumba sebule Jiko dogo pamoja na public toilet Vyote ni vyumba standard, Nitashukuru sana
  9. Scared

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  10. Lady Ra

    JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko. Sasa muongozo wenu naomba...
  11. Scared

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  12. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania CHUMBA SEBULE CHOO AT MBEZIBEACH

    Chumba Sebule Choo ndani. Tshs 150,000×4 Maji ndani, Unatembea hadi kituoni, Umeme wawili, Call 0716442950 || 0687614981
  13. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  14. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba masta na sebule Mbezi Beach

    CHUMBA MASTA NA SEBULE Mahali @ MBEZIBEACH Bei_Tshs 200,000/= Call_ 0716442950
  15. ahmedj

    JamiiForums Tanzania House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
  16. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Sebule yenye ukubwa wa futi 14 kwa 13 zinaingia tiles box ngapi na bajeti yake yote

    Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja na mafundi Karibuni kwa mchango wenu wadau
  17. A

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule kinapagishwa.

    Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule ni self catering dormitories mijini

    Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo. Kuongeza kipato zaidi ya pension kwakua sasa hivi ni mstaafu anaanuma kujenga vyumba nyuma na pembeni ya nyumba yake...
Back
Top Bottom