Habarini wana Jf,
Katika Nchi yetu ya Tanzania population inazidi kuwa kubwa hasa na takribani miaka 100 ijayo Tanzania inaweza kuwa kwenye top ten ya Nchi zenye population kubwa duniani kulingana na Takwimu, hivo kutokana na ukuaji wa population wasomi wanazidi kuwa wengi, shule zinakuwa...
Utangulizi.
Kwa kuzingatia mazingira ya sasa, idadi ya watu inazidi kuongezeka kwa kasi kubwa na pia changamoto za kiafya zinazowakabili watu wengi hasa katika umri wa kuanzia miaka 50, kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutaweka msingi imara kwa ustawi wa wastaafu, kuongeza ufanisi katika...
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe.
Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
MAGAZETI ya Leo tarehe 5/5/2023 yameandika juu ya hafla ya kustaafu kwa majaji 3 wa mahakama kuu ya Tanzania, tunawapongeza kwa kulitumikia Taifa letu na tunawatakia maisha mazuri ya uraiani.
Jambo nililojifunza ni kwamba Majaji hao wanaonekana kuwa na umri mkubwa sana, nimejiuliza hivi Majaji...
Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya Pensheni.
Muswada huo ulioibua Maandamano na Migomo ya Wananchi takriban Milioni 1.2 wanaopinga mabadiliko...
Serikali ya Kenya imezikumbusha mamlaka zake umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kilazima ni miaka 60 na 65 kwa wenye ulemavu kulingana na kanuni za tume ya utumishi wa umma za mwaka 2017 na tume au mamlaka yoyote ya uteuzi haitakiwi kuongeza muda kwa watumishi hao.
Wizara ya utumishi wa...
Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni.
Wakiwa wametiwa moyo na...
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?
Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa.
Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4 (2)).
Stahiki na mafao yao ma-RC na ma-DC zimeelezwa katika Sehemu ya 6 ya Sheria ya the Political...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.