TUKIWA KWENYE ZINAA NA STAREHE WANAUME HATUTAKI MTULETEE MAMIMBA YENU. HUO NI UKATILI KWA WANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Msitake kutuharibia Maisha sisi.
Serikali sasa inayohaja ya kufikiria kuunda sheria ya kukomesha ukatili huu wa kijinsia kwa wanaume. Unabebaje Mimba ya...
1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa.
2. Kupewa nguvu ya asili tofauti.
Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali.
(Utu to unyama)
Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya...
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa...
Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu.
Uzinzi au ngono inakufanya kuwa mbali na Mungu hii inapelekea kukosa...
Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii.
Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA.
1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA.
2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K
Msosi 20K
Nauli 5K
Asante kwa kuja 30K
Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo.
Kwanini...
Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio.
Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo.
Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Hayo...
Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu
Chanzo cha picha,iStock
9 Februari 2019
Imeboreshwa 28 Disemba 2020
Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao.
Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo...
Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote.
Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho.
Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa.
Haya mambo...
Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu.
Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu.
Binti anafanya kazi office flani hapo mjini.
Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha kwamba naweza mtongoza na anafaa kuwa mke wangu.
Kabla sijamfata niliuliza washkaji wakanambia Binti...
Dalili hizo ni pamoja na:-
1. Riba kuongezeka sana.
Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni.
2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa.
3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732.
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine.
Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.