ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Watanzania muishio Paris, Ufaransa….

    Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris. Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau. Msiogope. Huko hao watu wake hawana cha kuwafanya. Mshikieni mabango. Mkiweza chukueni hata vipaza sauti. Mpingeni...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burkina Faso yavunja Uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa rasmi kuanzia Juni 26, 2026, nchi ambayo ilikuwa mtawala wao wa zamani wa kikoloni, ukiishutumu kwa kuendelea kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maslahi yake. Taarifa iliyotolwa na Serikali hiyo ya kijeshi...
  4. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mganga wa Ufaransa mbona ana fanya uganga wa kizamani hivyo?

    Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina. Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa 😁😁. Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ufaransa 3-0 Iraq | World Cup 2026 | Lincoln Financial Field | Juni 23, 2026| Mbappe anaendelea kukiwasha

    Kombe la Dunia linaendelea tena leo ambapo Ufaransa watakuwa uwanjani dhidi ya Iraq Naamini chama langu France litamkana sana mpenda vita Iraq Soma Pia: FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026 Ingawa walionyesha kiwango kisichoridhisha katika kipindi cha...
  6. Mjomba Malume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

    Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana. Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57. Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

    Timu ya Taifa ya Senegal imekubali kichapo hicho katika Kundi I, licha ya kuanza kucheza vizuri kipindi cha kwanza cha mchezo huo, kipindi cha pili mbinu za Ufaransa zikawa bora na kupata magoli kupitia kwa Kylian Mbappe dakika ya 66 na 90 na Bradley Barcola (82). Senegal imepata goli lake...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hija ya WAWATA nchini Italia, Ufaransa na Ureno! Chemchemi ya Baraka na Neema Kwa Tanzania!, Wanawake Hawa 49 ni Baraka Kubwa Sana kwa Taifa Letu!

    Wanabodi Hii ni C & P from RatibaPodcast Lengo la hija ye yote ni kuleta furaha ya ndani ya mhujaji. Ni Kitendo cha kujialika upya wa maisha. (Vatican Media) VATICAN Hija ya Wawata Nchini Italia, Ufaransa na Ureno! Chemchemi ya Baraka na Neema Lengo la hija ye yote ni kuleta furaha ya ndani...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaifungia Televisheni ya Ufaransa 'TV5 Monde' kwa habari za uongo

    Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026. Hii si mara ya kwanza...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Iran aziomba Ufaransa na Uingereza kuishawishi Marekani irudi kwenye meza ya mazungumzo kumaliza vita

    Iran’s President Masoud Pezeshkian urged Europe to play a more active role in pushing the United States toward an agreement, saying diplomacy remains the best way to resolve disputes, according to state media. In a call with France’s President Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran was ready to...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japan zimesema zitachukua hatua stahiki kuhakikisha Usalama wa Strait of Hormuz

    Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watoto chini ya miaka 15 wapigwa marufuku mtandaoni Ufaransa

    Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii. Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
  14. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Dili la kuwa mkimbizi Ufaransa limetiki, muda huu nipo Paris

    Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi. Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufaransa haikabiliwi na ugaidi bali inaishi ndani yake

    Miaka 10 iliyopita, dunia ilishuhudia kwa hofu jinsi magaidi wa jihadi walivyowaua waandishi wa habari wa Charlie Hebdo na kuwaua raia katika Bataclan. Ufaransa ilitangaza vita dhidi ya ugaidi. Leo, vita hivyo vinapotezwa, siyo vitani, bali katika madarasa, misikiti, majengo ya makazi, na...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ufaransa 'Sebastien Lecornu' ajiuzulu baada ya wiki chache madarakani

    Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Paris yachunguza kifo cha Balozi wa Afrika Kusini Nchini Ufaransa

    Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025. Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
Back
Top Bottom