mbao

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Hakuna faida yoyote ya kuwa na misitu alafu watoto wanakaa chini. Hiyo misitu tunamtunzia nani?

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya kusubiri bajeti kuu ya serikali ili kutatua changamoto ya ukosefu wa madawati na miundombinu mashuleni...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa gharama nafuu

    Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa ghalama nafuu
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

    Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu. Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...
  4. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Nauza Miti Ya Mbao Pines Ina miaka 14!

    Habari wana Jukwaa Nauza miti ya mbao yenye umri wa miaka 14 iko Wilaya ya Mufindi Kijiji cha Mapanda Iringa Tanzania Ukubwa wa Ekari 25 imetosha Kuvunwa ( mbao) inauzwa yote kwa pamoja bei ni Tsh 85,000,000/= Maongezi yapo… KARIBUNI SA Mawasiliano 📞 0750827076 ( WhatsApp Tu )
  5. M

    JamiiForums Tanzania TUNASAMBAZA MBAO KAVU KWA BEI YA JUMLA KILA WIKI KUTOKA NJOMBE KUJA DAR ES SALAAM & PWANI.

    •Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani? •L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe. •Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana. •Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine za kulanda na kuchana mbao

    Mashine mpya kutoka China Inch 12 million 3.5 na inchi 16 million 4.8. Zina kazi tofauti ikiwemo kulanda, kuchana, kutoboa n.k Piga 0626751473. Mbezi mwisho- barabara ya makabe Dar es salaam
  7. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  8. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  9. MaduhuJ

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  11. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Mbao za kuezekea

    sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni treated? Asanteni kwa msaada. Nyumba ipo goba na nimepanga kupaua januari
  12. ze-dudu

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua mbunifu wa hizi mbao hapa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

    Ubunifu wake unavutia sana hapo kileleni
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  14. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya mbao (board) kwa wafanyabiashara biashara

    Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  19. SlimFit

    JamiiForums Tanzania Kero: Mdudu mla mbao juu ya dari dawa yake ni nini?

    Ndugu zangu habari ya usiku? Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao. Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mti pori

    Kama unahitaji Mbao Ngumu za mti pori kwa jumla na rejareja karibu tukuhudumie tunazo za kutosha size ni 2x10x10. Piga number 0767549000.karibuni
Back
Top Bottom