waandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Roboti waandamana Warsaw kudai Udhibiti wa Akili Mnemba

    Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

    Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya. Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Waandamana Nairobi Kupinga Sh3.2M ya KRA

    Ijumaa, Agosti 28, shughuli za biashara katika sehemu za Nairobi CBD, Kamukunji, Gikomba na Nyamakima ziliathirika baada ya wafanyabiashara kufunga maduka yao na kuandamana kupinga kiwango kipya cha tathmini ya forodha kilichowekwa na Kenya Revenue Authority (KRA). Kiini cha maandamano hayo ni...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makuli na washusha mizigo ya nafaka waandamana kupinga maandamano ya Julai 7

    Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wameibuka kulaani na kuyapinga vikali maandamano hayo wakikumbuka machungu ya maandamano...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko ughaibuni waandamana kutaka haki Tanzania

  9. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

    Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watatu waandamana Washington DC

  12. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi Cameroon waandamana wakitaka Matokeo halali ya Uchaguzi kuheshimiwa

    Hali ya wasiwasi imekithiri katika miji mbalimbali ya Cameroon, kufuatia madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani, Issa Tchiroma Bakary, katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 Soma Kiongozi wa Upinzani ajitangaza Mshindi wa Urais Cameroon, amuomba Rais Paul Biya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Ubelgiji kupinga Mageuzi ya Serikali ya kubanwa kwa Matumizi

    Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Marekani Raia waandamana kumtaka Trump aondoke madarakani.

    Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano yafanyika Nairobi huku kizazi cha Gen Z kikijaribu kumzuia Waziri Mbadi kuwasilisha bajeti ya mwaka 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu bajeti mpya inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi bungeni siku ya Alhamisi na Waziri wa Fedha John Mbadi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taliban waandamana wabeba bendera ya Palestrina burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu

    Wadau hamjamboni nyote? Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban. Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
Back
Top Bottom