kufanya

 1. Avatar

  Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

  Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
 2. ndege JOHN

  Kufanya kazi Vijijini ni changamoto kwasababu ya Wanasiasa

  Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani Manyara huko Babati. Sasa kuna siku nilimtembelea Kijijini huyu wa maji nikakuta anateseka sana na...
 3. Suley2019

  RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika. Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
 4. Suley2019

  Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

  Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
 5. MALCOM LUMUMBA

  Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

  Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
 6. Suley2019

  Tetesi: Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

  Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
 7. Analogia Malenga

  Zitto: Wanasiasa Tanzania wanapata ugumu wa kufanya siasa bila uadui

  Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu. Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
 8. Ezekiel Mbaga

  Hii ndege ya jeshi la USA imekuja Tanzania kufanya nini.?

  Nimeona hiyo picha ila sijui ni ya mwaka gani na ilikuja kufanya kitu gani Update: Dar es Salaam. Marekani imesema ndege ya jeshi la nchi hiyo aina ya C-17 Globemaster iliyoegeshwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeleta mahitaji muhimu ya ubalozi wa nchi hiyo...
 9. C

  USHAURI: Kufanya Polish au Waxing kwenye gari

  Msaada kwenye tuta Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana. Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake 1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti, 2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...
 10. Mzee Mambo

  Natafuta kazi. Nimemaliza kidato cha sita

  Habari Za MAJUKUMU wanaJF, Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent). Elimu yangu KIDATO CHA SITA. Nipo Dar es Salaam. Asanteni
 11. mama D

  Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

  Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
 12. Deejay nasmile

  Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

  Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
 13. Muhsin Snr

  Nasaidia kufanya maombi ya Vyuo kwa bei sawa na bure

  Nipo Temeke Sokota, application za vyuo mwaka 2021/2022 kwa Ngazi za Certificate, Diploma na Degree Pia, natoa ushauri kwa waombaji jinsi ya kuchagua kozi kutokana na ufaulu Kwa mawasiliano namba 0755 845843
 14. Violet Nkata

  Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

  Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
 15. Sexless

  Malalamiko ya mbunge wa Mbogwe yasipuuzwe. Anadai wanalipwa mil 3.8. Hataki kufanya ujanja ujanja kama wabunge wengine. Ni ujanja gani?

  Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge. Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu. Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
 16. Planett

  Huyu customer care wa benki hii hana kazi ya kufanya?

  Straight to the topic, Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu. Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
 17. Liverpool VPN

  Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

  Wanajamvi salama? SAMAHANI KWA HILI ANDIKO REFU KIDOGO. Naomba mliooa mnipe darasa kidogo. Nina Miaka 31 na nyumbani kelele nyingii ni utaoa lini? Mimi ni yatima na nimelelewa na ndugu@extended family. Tatizo lilianza pale ndugu wa kiume niliokuwa nao wotee wameoa. Na rafiki zangu wotee...
 18. F

  Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

  Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo Naomba...
 19. Kibosho1

  Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

  Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana. Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka. Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
 20. Sky Eclat

  Kufanya kazi na watu wanaoielewa dunia ni raha sana

  Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni. Kazi za ndani kwa houseboy au house girl atahakikisha kabla ya ajira una sehemu ya kuishi ambayo unamudu kuilipia. Inawezekana ikawa...
Top Bottom