feni

An iron–nickel alloy or nickel–iron alloy, abbreviated FeNi or NiFe, is a group of alloys consisting primarily of the elements nickel (Ni) and iron (Fe). It is the main constituent of the "iron" planetary cores and iron meteorites. The acronym NiFe refers to various chemical reactions that involve an iron–nickel catalyst or component, or in geology, to the general composition of planetary cores (including Earth's).
Some iron–nickel alloys are called nickel steel and usually contain additional elements, depending on the purpose.

View More On Wikipedia.org
  1. MEGATRONE

    Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha...
  2. A

    DOKEZO Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  3. Kilimbatz

    Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

    Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
  4. Chizi Maarifa

    Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

    Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi. Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja. Nami nahitaji mbili zinazodumu
  5. dingihimself

    INAUZWA Nauza feni Aina ya Ailyons

    Nauza feni yangu tsh 35,000 Aina ya Ailyons haina shida yoyote nipo Dar-es-salaam . Namba za Mawasiliano yangu ni 0657438581 0657438581
  6. King Rabbit

    INAUZWA Feni ya ukutani inauzwa

    FENI YA UKUTANI INAUZWA MPYA💥 Brand : Tronic Bei : 80,000 Mahali : Dodoma ☎️ : 0654 486 097
  7. K

    INAUZWA Kitanda, Godoro, Sabufa(SeaPeano) na feni vinauzwa Arusha Moshono

    Wanajf habari zenu bana?? Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo. 1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 320k 2.godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 170K 3.SeaPeano..tsh 95k 4.Feni..tsh 35k Vitu ni vipya coz ndo nilikuwa naanza maisha Arusha lakini ndo hivyo naondoka...
  8. Farsan

    INAUZWA Feni ya juu inauzwa

    Feni inauzwa Brand:Evernal Bei: 50000/= Piga simu no: 0653499987 Mahali: Dar es salaam - Gongo la mboto
  9. dalalimhenga

    INAUZWA Feni ya juu inauzwa

    Feni inauzwa Bei ni Tshs 50,000 Ipo Mbezibeach Piga 0742141467
  10. Hajto

    Feni aina ya Evernal

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza nahitaji feni aina ya Evernal, je nitapata wapi na napenda kujua bei yake je ni kiasi gani!
  11. C

    Wapi Wanauza Thermal Fuse za Feni?

    Naomba kujua maduka wanayouza thermal fuse za feni, mfani R 115 2A 250V. Asanteni
  12. K

    INAUZWA Feni inauzwa shilingi 45,000/=

    Ni Kampuni ya AILYONS, imetumika miezi mitatu tu. Feni ni nzuri na yenye nguvu. Bei ni 45000/= Njoo Kimara Mwisho uchukue. 0687603307
  13. Miss Natafuta

    Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

    Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha. Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani. Shida ni...
Back
Top Bottom