Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,524
9,576
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
 
Hao viongozi bora wasingeenda huko Afrika Kusini maana hatujaona wakilalamika. Wachezaji walipoa tu hawadai. Wawaangalie waarabu wanavominyana.

Yanga wametia aibu kama taifa la watu wakuonewatu
 
Unashindia Mlo mmoja unafanya kamari kuwa ndio Ajira CAG anasema Serikalini kuna wezi wa kutisha halafu badala ya kuandamana kwa mambo muhimu.
 
Injinia raisi wa Yanga alipokua sauzi Africa alipoulizwa swali anaona timu gani zitacheza fainali ya club Bingwa alisema ni Mamelode na Alhly...anzeni nae kwanza
Hebu weka hiyo clip au link akisema hivyo
 
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni kwa timu za Tanzania uwe mwisho
Yani mshindwe kuandamana sababu, ya gharama za maisha, katiba mpya nk ambavyo vinaathiri mpaka vizazi vyako , uje uandamane kisa mamipira ambayo ni anasa? Inaonesha kiasi gani watanzania ni wapuuzi na wajinga. Hatuna akili ya kujua vipaumbele na ndio maana wanasiasa wanatumia mpira kama mtaji wao kisiasa. Stupid.
 
Usituoe kwenye hoja kiongozi hii siyo mada ya siasa na kama kiandamana kuhusu agenda unazosema watu si wameandamana mkapewa na ulinzi kabisa mlianza mwanza, mkaenda mbeya mkaenda arusha mkaja dar es salaam yani full ulinzi so kama unaona haitoshi anzisha mandamano mama kizimkazi karuhusu kabisa

Wewe anzisha tutakusupport tu kama mbeya, mwanza arusha na dar tulisupport
 
Asante sana refa.....mji umepoa sasa......wana Simba tungeishi maisha magumu sana......

FB_IMG_1712413468930.jpg
 
Yani mshindwe kuandamana sababu, ya gharama za maisha, katiba mpya nk ambavyo vinaathiri mpaka vizazi vyako , uje uandamane kisa mamipira ambayo ni anasa? Inaonesha kiasi gani watanzania ni wapuuzi na wajinga. Hatuna akili ya kujua vipaumbele na ndio maana wanasiasa wanatumia mpira kama mtaji wao kisiasa. Stupid.
Uko sahihi Kiongozi yaani Nchi inapelekwa msobemsobe na watu wako kimya kabisa wanaona ni normal sotuation ila kwenye issue ya Mamelody ndo tuandamane hii ni ajabu kweli kweli. Mambo ya msingi kabisa kama wizi wa Kura na Upokwaji wa Matokeo kwenye Chaguzi mbalimbali tuna yafumbia macho badala ya kuandamana na kudai haki itendeke sisi tunakaa kimya. Acha tuendelee kama ilivyo kawaida yetu Watanzania yale ya "Waajemi na Wamedi" yaloandikwa kwenye (Esta 1:19) Kamwe hatuyawezi.
 
Back
Top Bottom