Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongoziviongoziwaccm
vizazi
wana
wana ccmwasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai.
Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa.
CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za...
Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji.
Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali.
Leo viongozi wenzao...
==================
Kadiri miaka inavyokwenda, nimejifunza jambo moja muhimu sana:
Maisha ya bandia ni maisha ya gharama kubwa sana. Gharama yake si fedha tu, bali pia ni gharama ya kiroho, kihisia, kisiasa na hata kimahusiano.
Ukweli ni rahisi kuishi nao. Uongo, kwa upande mwingine, unahitaji...
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi?
Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma?
Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM.
Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii.
Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
Nimeshangaa sana. Nimekutana na dada mmoja akaniambia kuwa ana ndugu zake wapo Dar wamefunga biashara sababu ya hofu ya D9.
Oktoba 29 viongozi wote wa CCM kuanzia ngazi ya taifa mpaka mabalozi wa nyumba kumi hawakutarajia kilichotokea.
Hii yote ni sababu ya dharau na mazoe kuwa watanzania...
Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi...
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
Tarehe 29.10.2025 umma ulimkataa mgombea wa ccm kwa maandamano makali yaliyopelekea watu kupoteza uhai hadi sasa watu wanalia kila kona ya nchi, maandamano hayo yalifanyika umma ukihitaji reform za uchaguzi, kukemea utekaji na waachiliwe waliotekwa, uhuru wa maoni , kupinga ufisadi ,n.k.
Kwa...
Mara nyingi utasikia mara amani sio ya kuchezea, lakini huwezi kusikia wanasema neno haki. Je, amani wanayosema kulinda ni zile mali walizochuma? Je, wao ndio wana haki ya kulinda amani, sio watu wengine? Mara nyingi wanaosema amani ni wale walioshiba kwa kukwapua mali za umma, lakini hapo hapo...
Nimedokezwa kuwa Viongozi wa CCM akiwemo Dc wa Chato na jopo lake wanaomba msaada kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri ili watu kutoka vijiji mbalimbali wahudhurie mkutano wa Kampeni tarehe 13/10/2025.
Nimedokezwa hii yote inafanyika ili kumridhisha mkuu wa nchi kuwa anakubalika.
Wananchi...
Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma.
Enough is Enough
Lazima turudishe...
Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani.
Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali?
Toeni neno moja kwake!
Full clip hii hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.