China inaendelea kumwonya Putin dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia au kutishia kuzitumia.
Tangu vita vilipoanza, kwa ujumla China imekuwa upande wa Urusi. Katika masuala mengi. Suala moja ambapo China imeweka mstari usiovukika ni lile la matumizi, au tishio la matumizi, ya silaha za...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Mimi naona kuna kitu CCM inapaswa kukielewa vizuri kuhusu Watanzania. Watanzania kwa ujumla ni watu watulivu sana. Wengi hawataki maandamano, hawataki vurugu, hawataki nchi isambaratike. Mwananchi wa kawaida anataka maisha yake, biashara yake, familia yake na amani yake. Lakini pamoja na hayo...
Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege.
Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta...
17 August 2026
WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI
https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8
Source : Jambo TV
HABARI KWA KINA:
Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania
August 16, 2026...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama...
Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao.
Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini
Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
Kichwa cha habari kinahusika.
Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.
Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.
Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha.
Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29...
Utawala wa sheria maana yake nini?
Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.
Haki za wengine hawana habari...
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna Katiba ya Jaji Warioba bali Tume hiyo iliundwa kwa aajili ya kukusanya maoni tu.
"Tume ya Jaji Warioba ilikuwa haiandiki katiba...
TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao.
Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza ushawishi wao na kupinga baadhi ya sera za Marekani.
Swali, Je, wanachotafuta ni dunia yenye usawa...
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele
2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.